Masalanga: Nimejifunza kuwa na subira KIPA wa Yanga, Hussein Masalanga, amesema hatakata tamaa licha ya ushindani mkubwa ndani ya kikosi hicho, akiamini kuwa bidii na kujituma mazoezini vitamwezesha kupata nafasi katika kikosi hicho.