Ukweli hakuna Destiny’s Child bila Beyonce, Kelly Ukiwazungumzia Destiny’s Child, moja kwa moja majina mawili yanayokujia kwa haraka ni Beyonce Knowles na Kelly Rowland, ingawa kundi hilo lililoanzishwa mwaka 1990 huko Texas, Marekani...
Kaze aanza kibabe Ligi Kuu, Kagera Sugar ikiizima Mbeya City Sokoine Baada kusota kwa muda mrefu hatimaye Kagera Sugar imeamka usingizini ikiikamua Mbeya City kwa mabao 3-1 na kufufua matumaini mapya Ligi Kuu Bara.