Mayanga awavuruga Mbeya City akitajwa kuibukia Mashujaa Tetesi za kuondoka kwa Kocha Mkuu wa Mbeya City, Salum Mayanga zimeonekana kuwashtua vigogo wa timu hiyo wakieleza kuwa bado hawajapata taarifa rasmi, huku wakitoa msimamo mzito.
Championship vita imehamia huku WAKATI Mtibwa Sugar ikizidi kupepea kileleni, kibarua kipo kwa miamba minne kusaka nafasi mbili za juu kwenye Championship kuitafuta Ligi Kuu msimu ujao.
Mashujaa FC yaamka, Ngushi atoa msimamo WAKATI kaimu kocha mpya wa Mashujaa, Charles Fred akichekelea kuanza vyema kibarua baada ya kuambulia sare ya 2-2 ugenini mbele ya KenGold, mshambuliaji wa timu hiyo, Crispin Ngushi amesema kasi...
Ken Gold yabanwa Sokoine, mashabiki watawanywa na polisi Ken Gold imeshindwa kujinasua mkiani baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Mashujaa, huku mashabiki wa timu hiyo wakionekana kuvurugwa na matokeo hayo.
KenGold, Mashujaa acha tuone, Morison bado WAKATI KenGold na Mashujaa zikishuka uwanjani leo, makocha wa timu hizo wamepiga hesabu kali kila mmoja akisisitiza pointi tatu muhimu.
Si bure, Tanzania Prisons kuna mkono wa mtu ACHANA na matokeo ya Azam FC kuondoshwa katika michuano ya Kombe la Shirikisho kwa kufungwa na Mbeya City, hali imezidi kuwa mbaya kwa Tanzania Prisons ikiendelea kuyumba ikiwa ni kati ya timu...
Machi 8 ni dabi ya GG WAKATI presha ya mechi ya watani Yanga na Simba ikizidi kupamba moto, staa wa zamani wa Moro United na Tukuyu Stars, Emmanuel Mwagamwaga amesema mchezo huo utakuwa na mabao ya kutosha yaani GG...
Kocha Tanzania Prisons akataa unyonge ACHANA na kupoteza mechi tatu mfululizo, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Aman Josiah amesema hatarajii wachezaji wake kurudia makosa wakati wakiivaa Fountain Gate leo akisisitiza pointi muhimu.
Mashabiki wataja kete ya ubingwa Bara WAKATI mashabiki wa Yanga wakichekelea matokeo ya sare waliyoipata watani zao, Simba dhidi ya Azam, mashabiki wa Wekundu wamesema suala la ubingwa bado wakitaja michezo ya kuamua hatima ya taji...
Kilichomkwamisha Morrison KenGold hiki hapa WAKATI mashabiki wa KenGold wakisubiri kwa hamu kumuona uwanjani staa mpya wa timu hiyo, Bernard Morrison, nyota huyo bado ataendelea kuwa nje ya uwanja hadi taratibu za vibali vya kazi nchini...