CARLOS KAISER: Tapeli aliyesajiliwa bila ya kucheza mpira kwa miaka 14
“KLABU zinawadanganya watu wengi, hivyo mimi pia nilihitaji kuwadanganya. Hawakuweza kunifukuza, timu zote nilizojiunga nazo zilisherehekea mara mbili, wakati niliposaini na kisha nilipoondoka.”