ASANTENI WADAU, ILIKUWA SAFARI POA! kutoka kwa waandishi wetu wenye uelewa mpana na michezo hiyo. Hakika tunajivunia watu hawa (Dominic Isiji, Abdulrahman Sheriff, Thomas Matiko, Arege Ruth 'Toto', Hamisi...
Wambui: Simba Queens pananifaa WING’A wa timu ya taifa ya Kenya wanawake maarufu Harambee Starlets, Elizabeth Wambui ambaye alijiunga na Simba Queens ya Tanzania, amesema timu nyingi zilitaka kumsajili lakini akaamua kwenda...
Murang’a Seal wanafukuza ubingwa kimya kimya HUU ni msimu wao wa kwanza wanakipiga Ligi Kuu Kenya na baada ya mechi 10, Murang’a Seal wapo kwenye mix mbio za ubingwa. Chini ya kocha mzoefu Gabriel ‘Kingi’ Njoroge aliyechukua mikoba ya...
Gabon yamleta Thierry kisa Stars GABON wameanza kuweweseka kuelekea mechi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya timu ya soka ya Kenya, Harambee Stars, itakayopigwa baadaye mwezi huu. Timu hiyo kutoka magharibi mwa Afrika...
Trucha, Logarusic stori hazitofautiani NAFASI kwenye msimamo wa Ligi Kuu Kenya ambayo kocha mpya wa AFC Leopards, Tomas Trucha, ameikuta timu hiyo haina tofauti na nafasi ambayo Zdravko Logarusic aliikuta Kenya Police FC...
Mafans 8,000 kuicheki Stars KIKOSI cha timu ya taifa, Harambee Stars, kimekita kambi nchini Uturuki kikiendelea kunoa makali chini ya kocha Engin Firat tayari kuwakabili waliyokuwa wenyeji wa Kombe la Dunia 2018...
Marathon chini ya saa mbili inawezekana KAMA isingekuwa Eliud Kipchoge basi ni Kelvin Kiptum, wanariadha wawili waliotabiriwa mmoja wao kuvunja rekodi ya dunia mbio za marathon. Hatimaye ni Kiptum amefanya kweli juzi Jumapili akiweka...
Kwani mabao ya Omala hayambambi Firat? MOJA ya maswali ambayo mafans wa soka wamekuwa wakijiuliza ni vigezo vipi ambavyo kocha mkuu wa timu ya taifa, Harambee Stars, Engin Firat, anatumia katika uteuzi wa kikosi chake. Kwa mara...
Eti, waliosema Mashemeji Derby haifiki wako wapi? RATIBA ya Ligi Kuu Kenya msimu 2023/24 ilipotoka, wengi waliuliza kwani Mashemeji Derby ni lini? Ni kama vile waliona hiyo siku haitafika au inakawaia kufika ila wahenga wanakwambia siku...
Mfukoni Ingwe safi, dimbani mmh! MABINGWA wa zamani Ligi Kuu Kenya, AFC Leopards bado wanasubiri ushindi wao wa kwanza msimu huu wakijikuta katika nafasi ya 15 na pointi nne tu kwenye msimamo baada ya kushuka dimbani mara...