Neymar kuongoza kikosi cha Olimpiki NEYMAR ataongoza kikosi cha Brazil kwenye mashindano ya soka ya Olimpiki jijini London.
Mlemavu kushiriki mita 400 Olimpiki MWANARIADHA mwenye ulemavu raia wa hapa, Oscar Pistorius ameruhusiwa kushiriki michezo ya Olimpiki ya London.
AVB kuvaa buti za Redknapp Tottenham ANDRE Villas-Boas amerejea tena Ligi Kuu England na sasa atafundisha timu ya Tottenham.
Neymar mchezaji bora wa Amerika Kusini MSHAMBULIAJI chipukizi Brazil, Neymar ametajwa mchezaji bora wa mwaka wa Amerika Kusini baada ya kuisaidia klabu yake ya Santos kutwaa taji la Copa Libertadores.
Yanga New Force KOCHA mpya wa Yanga, Kosta Papic, amedhihirisha kuwa ni fundi wa mechi za watani wa jadi, baada ya kuiongoza Yanga
Patachimbika hapa WAKATI pambano la Simba na Yanga likiwa linaanza leo Jumamosi, utakuwa tayari unajua matokeo ya mechi ya
Vigogo wa Ulaya watembeza dozi MSHAMBULIAJI Wayne Rooney alifunga mabao mawili kwa penalti na kuwaongoza wachezaji 10 wa Manchester United kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Otelul Galati ya Romania katika mechi ya Ligi ya...
Timbe aleta mbinu za Uholanzi Yanga KOCHA wa Yanga, Sam Timbe ametoa mpya, sasa anataka kuona kila mchezaji akifunga wakati wa mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara, akikumbushia mtindo wa 'Total Football' uliokuwa unatumiwa na timu za...
Yanga: Sasa mtakoma ubishi <img src="http://2.s01.flagcounter.com/count/Nsu/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1/" border="0" height="1" width="1"><img...
Giggs amweka rekodi KOCHA Alex Ferguson amemsifu kiungo wake mkongwe Ryan Giggs baada ya kufunga bao muhimu lililoisaidia Manchester United kupata pointi moja jijini Lisbon.