Fantasia kama Jennifer Hudson MWANAMUZIKI Fantasia Barrino amesema anajipunguza ili awe mfano kwa familia yake na watu wengine wenye uzito mkubwa kwa kuwa si jambo jema kuukumbatia
Yanga yaifuata Bayern Munich UKIANGALIA rekodi za Ligi Kuu kubwa Duniani msimu huu utaanza kuwaona Bayern Munich ambao waliiaibisha Barcelona kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya wiki hii halafu utaiona Man United ya England...
Bomu la Atomic laua Wazee wa Kazi KIKOSI cha Atomic FC kimeirarura Wazee Wa Kazi FC kwa kuifunga mabao 2-1 katika mechi ya kupimana nguvu ambayo ilichezwa katika Uwanja wa Shule ya Msingi Khayo MMK.
Demba Ba aizamisha Man United DEMBA Ba jana, Jumatatu aliibuka shujaa baada ya kuifungia Chelsea bao tamu katika mechi ya Nusu Fainali ya Kombe la FA dhidi ya Man United.
Ujauzito ulisababisha Oscar kumuua Reeva KIFO cha mwanamitindo Reeva Steenkamp kilichotokana na kupigwa risasi na rafiki yake wa kiume, mkimbiaji mlemavu wa miguu, Oscar Pistorius wa Afrika Kusini
Yanga: Daima mbele, hatubahatishi KIRAKA Haruna Niyonzima 'Fabregas' na kocha wake, Ernest Brandts wamesisitiza kwamba sasa Yanga inateleza tu na wako vizuri wala hawabahatishi.
Yanga na Azam uwanjani leo, Mtaisoma namba YANGA na Azam zinacheza leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Inawezekana ndio mechi tamu zaidi kishabiki na kiufundi tangu kuanza kwa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.
First Eleven Yanga inayotesa Uturuki KAMBI ya Yanga inayoingia siku ya tisa leo Jumanne mjini hapa imeanza kuonyesha mabadiliko chanya kikosini katika mambo mawili.
Falcao amtesa Abramovich BILIONEA wa Chelsea, Roman Abramovich ameitaka klabu hiyo kufanya kila linalowezekana kumsajili Radamel Falcao ifikapo Januari mwakani.
Mlemavu wa mkono atamba table tenisi MCHEZAJI Paralimpiki katika mchezo wa table tenisi, Natalia Partyka amefuzu kucheza hatua ya 32 kwa wachezaji moja moja kwa wanawake katika Olimpiki.