UCHAMBUZI: Afcon Cameroon, darasa tosha la kuiandaa Taifa Stars kufuzu yataanzia katika raundi ya awali ambayo itakuwa ya mtoano itakayohusisha timu ambazo ziko chini katika viwango vya ubora vya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA). Zile zitakazocheza hatua hiyo...
Bodi ya ligi yafungia Uwanja wa Mabatini BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeufungia uwanja wa Mabatini uliopo Mlandizi mkoani Pwani kuendelea kutumika kwa michezo ya Ligi hadi hapo utakapofanyiwa marekebisho kwenye eneo la kuchezea.
Ushindi IN, Mukoko OUT Yanga kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga msimu huu tangu ujio wa viungo wawili Khalid Aucho na Yannick Bangala lakini mmoja wa marafiki zake ameliambia Mwanaspoti kwamba atacheza miezi sita tu Mazembe.
Chama aifuata Mbeya City KIKOSI cha wachezaji 26 akiwemo kiungo Clatous Chama kinatarajiwa kuondoka Dar es Salaam leo mchana kuelekea Mbeya tayari kuwakabili Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Simba...
Mayele amtingisha kocha Mmarekani KIKOSI cha Yanga tayari kimetua mkoani Tanga kwa ajili ya mechi yao ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union itakayopigwa wikiendi hii, huku kocha anayewanoa Wagosi wa Kaya, Melis Medo akikiri mziki...
Mastaa Gor kuhepea Police HUKU dirisha la usajili likiwa wazi, mibabe wa soka Gor Mahia wameanza kupaniki wakihofia kuwapoteza wachezaji wao nyota.
Simba waanza safari kurudi Dar na kombe lao Mbeya. Simba iliifunga Azam ikiwa ni mara yao ya tatu kukutana kwenye fainali hizo ambapo mara mbili ilifungwa na matajiri hao wa ligi nchini Tanzania. Mwenyewe wa Simba, Murtaza Mangungu...
Yanga mpya bila Mwenyekiti wala Makamu, TFF yatoa miezi sita MTENDAJI Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha amesema mchakato wa kuingia kwenye mabadiliko kwa klabu yao haukuwa rahisi kwa walipofikia kilichobaki ni utekelezaji.
Usajili Yanga kusimamisha nchi Mbatha alisema bado wananafasi ya kusajili kabla ya dirisha halijafungwa watafanya kitu kikubwa ambacho amethibitisha kuwa kitashtua nchi.
Dah wamepotea moja kwa moja SOKA siku zote ni mchezo wa namba zinazopanda na kushuka na ili mchezaji aendelee kusalia katika timu anayocheza au kwenda sehemu nyingine, lakini kama namba zikiwa zinashuka moja kwa moja...