HISIA ZANGU: Tusikubali Ligi ya mechi ya 364 ‘Hat Trick’ moja
LIGI inaanza Jumamosi na wachezaji wetu wana madeni mengi kwelikweli. Kule England, Diego Costa anaoongoza katika wachezaji wanaolipa madeni. Sio kwa kufunga mabao saba katika mechi tatu, bali...