Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

973 results for Oscar Oscar :

  1. Mastaa wanne Yanga kuikosa Kagera

    WACHEZAJI wanne wa kikosi cha Yanga wataikosa mechi ya wikiendi hii dhidi ya Kagera Sugar baada ya kukumbwa na matatizo mbalimbali.

  2. CHUPUCHUPU :Van Persie aigomea Chelsea Old Trafford

    NGOMA ya wanaume. Straika Robin van Persie alifunga kwenye dakika za majeruhi kuigomea Chelsea kuondoka na pointi zote tatu Old Trafford wakati Manchester United ilipoambulia sare ya bao 1-1...

  3. Maximo: Nyota wanne Simba kiboko

    >HASIRA za Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili Marcio Maximo, sasa ni kwa Stand United atakayokutana nayo Jumamosi, lakini amedai kwamba Simba walipaki basi ndio maana ikawawia vigumu kushinda juzi...

  4. No retreat, No Surrender

    YANGA ilimsajili Emmanuel Okwi msimu uliopita kwa lengo la kuboresha fowadi yake, lakini baadaye mchezaji huyo akatofautiana na timu hiyo na kufuata taratibu za kisheria akarejea kwenye timu yake...

  5. Huku Kisiga, kule Coutinho ni noma

    INAWEZEKANA ulikuwa hujui. Lakini kwa taarifa yako faulo yoyote itakayotokea kwenye mchezo wa leo kwa upande Yanga mpigaji atakuwa, Mbrazili Andrey Coutinho pamoja na Mnyarwanda Haruna Niyonzima...

  6. Asanteni Masheikh, Maaskofu kwa kumwaga baraka Taifa

    JUMAPILI iliyopita, Oktoba 12 Alasiri ndani ya Uwanja wa Taifa kulikuwa na mkusanyiko wa viongozi wa dini zetu kuu za Waislamu na Wakiristo ambao walicheza mechi kwa kugawanyika katika timu mbili...

  7. Hapa lazima kazi ipo

    TAYARI homa ya pambano la watani wa jadi Simba na Yanga inapanda huku kila upande ukijitahidi kuandaa kikosi chake ili kupata matokeo mazuri Oktoba 18, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es...

  8. Yanga wamebaki watano tu

    WAKATI straika wa zamani wa Simba, Betram Mwombeki anafunga bao la tatu la kusawazisha, Simba na Yanga zilipotoka sare ya mabao 3-3 Oktoba 20 mwaka jana, alikamilisha orodha ya mashabiki 20...

  9. Yondan awapiku mabeki wa Yanga

    HATA Nadir Haroub, Oscar Joshua, Edward Charles, Juma Abdul wakija kupiga bao nyingi baadaye Kelvin Yondani atabaki kwenye rekodi kwamba ndiye beki wa kwanza kuifungia Yanga bao msimu huu.

  10. 'Msije uwanjani mtaumbuka'

    >STAND United ipo Tandika jijini Dar es Salaam kwa zaidi ya wiki sasa wakijiandaa na mechi dhidi ya Simba itakayochezwa leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa. Timu hiyo ya Shinyanga imekuwa...

Previous

Page 83 of 98

Next