Yanga noma, yaifumua Majimaji na kurejea kileleni YANGA imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuifumua Majimaji ya Songea kwa mabao 5-0, lakini gumzo kubwa ni kasi ya ufungaji ya straika, Amissi Tambwe.
Yanga ile ile, yarudi kileleni YANGA jana Jumapili ilirejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara, lakini gumzo likiwa ni ugonjwa unaoisumbua timu hiyo katika suala zima la upigaji penalti.
Simba Chupuchupu, URA yaua MABINGWA watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi, Simba imeanza vibaya baada ya usiku wa jana Jumatatu kulazimishwa sare ya mabao 2-2 na timu ya Jamhuri Pemba katika pambano la Kundi A la...
Yanga yachanua Mapinduzi MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga jana Jumapili ilianza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kuichapa Mafunzo ya Zanzibar mabao 3-0 katika mchezo wa ufunguzi.
Haina ujanja Kirumba SIMBA ipo safarini kwa sasa kuelekea Shinyanga kuwahi pambano lake lijalo la Ligi Kuu Bara dhidi ya Mwadui FC.
Joshua akomaa Yanga BEKI wa Yanga, Oscar Joshua ameonekana kukosa namba ndani ya kikosi hicho, ila yeye amefichua kwamba pamoja na changamoto hiyo ana siri nzito na Yanga.
Joshua: Yanga? Nyie acheni tu! KIATU kinachobana akijuaye mvaaji! Huu ni msemo maarufu sawa na ule wa siri ya mtungi aijuaye kata.
CAF yaipasua Yanga YANGA hailali, ikipiga hesabu zake itoke vipi katika Ligi ya Mabingwa Afrika ambayo itashiriki mwakani, lakini huku nyuma wadau wawili wa soka wamepata wasiwasi juu ya safu ya ulinzi ya timu hiyo...
Yanga yazizuga Azam, Simba DIRISHA dogo la usajili wa Ligi Kuu Bara litafunguliwa kesho Jumapili ambapo litakuwa wazi hadi Desemba 15 litakapofungwa ikiwa ni siku mbili baada ya mechi ngumu ya Simba na Azam itakayopigwa...
Ukiiga Yanga umekwisha ZAMANI kulikuwa na vituko sana. Unakumbuka yale magari yalikuwa chakavuuu... halafu yameandikwa kwa nyuma ‘Baba’ko analo?’. Mengi yalikuwa mbovu afu yalikuwa yanaegeshwa sehemu ya mteremko ili...