MTAA WA KATI : Tunamsubiri Rooney wa Mourinho WAYNE Rooney anasubiri kuzaliwa upya msimu ujao. Maisha yake ya ndani ya Manchester United yatakuwa matamu zaidi kama Jose Mourinho atatua mahali hapo. Rooney ni aina ya mchezaji ambaye Mourinho...
NINAVYOJUA : Pluijm, Yanga iliyobadilika inaweza kuifunga Al Ahly BILA shaka Watanzania wapenda soka na siyo mashabiki wenye unazi wa U-Simba na U-Yanga keshokutwa Jumamosi watakuwa wakiomba dua angalau Yanga ishinde mchezo wake wa kwanza dhidi ya Al Ahly.
Wanatetemeka WAMISRI, Al Ahly wametua nchini alfajiri ya jana Jumatano na kujichimbia Hoteli ya Kempski, wakihodhi vyumba vyote, lakini kocha wao Martin Jol amejibu maswali matatu akidai anahofia rekodi ya...
NINAVYOJUA : Tunakosea kuwauliza wasemaji masuala ya ufundi INAWEZEKANA ikawa Tanzania pekee ndiko ambako wasemaji wa klabu wanajulikana zaidi kuliko makocha wa timu husika.
Oscar asema Hiddink atabaki Chelsea CHELSEA inaripotiwa kuhaha kusaka kocha mpya wa kumpokea, Guus Hiddink, mwishoni mwa msimu, lakini kiungo Mbrazili wa timu hiyo, Oscar, amefichua kwamba mastaa wote klabuni hapo wanataka...
WAJE TU WATAISOMA RAIS John Pombe Magufuli tayari amelipia kifurushi chake cha Azam TV na leo Jumamosi saa 10:00 jioni atakuwepo Ikulu jijini Dar es Salaam akishuhudia mchezo wa kwanza wa watani wa jadi Simba na...
Oljoro sasa yajishika na Yanga kashfa ya kupanga matokeo KATIBU Mkuu wa JKT Oljoro, Hussein Nalinga, ameshangazwa na taarifa zinazozagaa kila kukicha kuwa Oljoro wameuza mchezo wao dhidi ya Polisi Tabora ili hali wanafahamu kuwa kitendo hicho...
Yanga yaizidi akili Simba kambini Pemba MASHABIKI wa Yanga wanatambua kwamba, Kelvin Yondani, hatakuwepo katika mchezo dhidi ya Simba na kutamani kujua ukuta wao utakuwaje Jumamosi timu hizo zitakapoumana katika mechi ya Ligi Kuu Bara.
Mamilioni yatumika kuivuruga Yanga BAJETI ya mishahara na kila kitu ya Yanga kwa mwezi ni Sh120milioni ambazo ukizipeleka pale Coastal Union zitatumika kulipa mishahara ya miezi minne na chenji itabaki.
Mwinyi amlia mingo Oscar BAADA ya kukaa nje takriban mwezi mmoja beki wa Yanga, Haji Mwinyi amesema anarejea kikosini akijiandaa na ushindani mkali wa namba dhidi ya Oscar Joshua ambaye ameonyesha kiwango cha juu.