Yanga mpo? Waziri Jr anaanzia kwenu MABOSI wa timu ya Dodoma Jiji FC, walilazimika kupanda ‘mwewe’ hadi nchini Tunisia ili kumsainisha mkataba mshambuliaji wao mpya Waziri Junior, aliyekuwa kwenye majaribio nchini humo.
Dodoma Jiji yamng'oa Tunisia Waziri Jr SASA ni rasmi mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Waziri Junior ni mali ya Dodoma Jiji baada ya awali kuwaponyoka dakika za mwishoni.
Tyson Fury alivyomaliza ubishi wa Wilder Lilikua pambano la tatu baada ya yale mawili baina yao mwaka 2018 na 2020.
Dodoma Jiji v Simba Ilikuwa kama vita Jamhuri BAADA ya kuandamwa na kutofunga kwenye mechi tatu mfululizo msimu huu, hatimaye Simba walifungua akaunti ya mabao kwenye mchezo uliopita dhidi ya Dodoma Jiji uliochezwa Uwanja wa Jamhuri.
Simba yaanzia Dodoma, Kagere akiwapa furaha mashabiki Ndivyo unaweza kusema, Ushindi wa kwanza wa Simba msimu huu umeanzia mkoani Dodoma baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji.
Simba yaanzia Dodoma, Kagere akiwapa furaha mashabiki Baada ya subiri subiri ya muda mrefu, hatimaye Simba wamefunga bao kwenye mchezo dhidi ya Dodoma Jiji na kuondoka na pointi tatu muhimu.
Bocco aipunguzia ulinzi Simba Kocha wa Simba, Didier Gomes ameamua kupunguza mchezaji wa ulinzi kuongeza mashambulizi kwa timu yake.
Dodoma Jiji yaigomea Simba Kipindi cha kwanza cha mchezo kati ya wenyeji Dodoma Jiji na Simba, kimemalizika kwa suluhu tasa.
Sakho aumia, Bwalya ambadili Dakika 10 tu zimetosha kwa nyota mpya wa Simba, Ousmane Sakho kucheza uwanjani, baada ya kuumia.
Makata aitumia Ruvu kuifunga Simba Kocha wa Dodoma Jiji, Mbwana Makata, ameingia kwenye mchezo wa leo dhidi ya Simba akianza na kikosi kilichoifunga Ruvu Shooting.