Kumbe kina Kelvin, Agiri wapo wengi tu KOCHA mkuu wa Timu ya Taifa ya Vijana Tanzania chini ya miaka 17 'Serengeti Boys', Oscar Milambo, amefunguka kwamba katika hatua hii ya kufuzu fainali za Afcon 2017 Kanda ya...
Serengeti wapania makubwa Afcon mwakani Kocha wa Serengeti Boys, Oscar Milambo amesema kupitia mashindano yaliomalizika jana Jumapili jijini Dar es Salaam, anaamini yamewapa hatua na uzoefu kuelekea fainali za AFCON...
Tujitokeze Uwanja wa Taifa kwa wingi kuitia nguvu Serengeti Boys MASHUJAA wa Tanzania katika michuano ya mchujo kuwania ushiriki wa Fainali za AFCON kwa Vijana U17 kwa mwaka 2019 Kanda ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Serengeti Boys, leo Ijumaa inavaana...
Serengeti Boy kukinukisha leo tena HAINA cha kupoteza kwani tayari imeshakata tiketi ya nusu fainali. lakini timu ya taifa ya Vijana U17, Serengeti Boys imesisitiza leo Alhamisi wataendeleza tena moto wao kwa Rwanda katika mechi...
Serengeti Boys inazitaka fainali za Dunia SERENGETI Boys imekuwa ikikonga nyoyo za mashabiki wa soka nchini kwa kazi inayoifanya, lakini kumbe mambo bado kabisa kwa jinsi mipango ya Kocha Mkuu wake, Oscar Milambo, ilivyo.
Serengeti Boys wanamikwara hao! Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 ya Tanzania ‘Serengeti Boys’, Oscar Milambo, amefichua kuwa anayatumia mashindano ya kufuzu kwa fainali za Afrika kwa vijana wa umri...
Kocha Milambo awaita mashabiki Uwanja wa Taifa SUDAN ilipoteza mechi ya kwanza kwa kufungwa mabao 3-1 na Rwanda kitu kilichomfanya kocha wa timu, Zdravko Logarusic aliyewahi kuinoa Simba kutamka timu yoyote itakayokuja mbele yake ni kipigo tu...
Kocha Serengeti Boys freshi tu WENYEJI wa Fainali za Afrika kwa Vijana U17, Serengeti Boys ya Tanzania imeanza vizuri michuano ya kusaka wawakilishi wa Kanda ya Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) kwa fainali hizo za 2019, huku...
Kayuni, msola wafichua siri za kocha KWA kumnasa kocha, Patrick Aussems, mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Simba SC, wametajwa kuzivamia anga za vigogo wengine wa soka la Afrika.