Simba wanautaka ubingwa nyie! wameingiza full mziki , Super Kihwelo, Ibrahim Mkoko, David Molinga, Jacob Masawe na Khamis Faki
Namungo yashtuka, haifanyi tena kosa UONGOZI wa Namungo umesema wapo makini katika maandalizi ya mechi zao za makundi hasa za ugenini wakihofia isije kuwakuta kile walichokutana nacho nchini Angola walipokwenda kwa ajili ya mchezo...
Nyota Namungo walioachwa Angola kurejea Jumatatu Awali nyota hao walitarajiwa kurudi leo, lakini kutokana na taratibu za kodi imepelekea kutoondoka mpaka jumatatuipofika sasa tunamshukuru sana Mungu na wachezaji wetu wamepambana vilivyo...
Kina Kikoti freshi, ishu usafiri karantini. Iliwaradhimu Namungo kurejea Tanzania na kuwaacha wachezaji hao Khamis Faki, Fredy Tangalu, Lucas Kikoto pamoja na Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo Omary Kaaya. Hassan Zidadu ambaye...
Namungo yarahisishiwa kazi CAF taarifa hiyo Agosto licha ya kucheza Tanzania mechi zote mbili, mchezo wa kwanza itawajibika katika maandalizi yote ikiwemo gharama za maofisa wa mechi hiyo. "Kwa vile makundi ya kombe la...
Mtemi amuuma sikio Gomes kwa Al Ahly Simba imeshauriwa kumaliza nyumbani mechi yao na Al Ahly huku kocha Didier Gomes akishauriwa kubadili mbinu za kiufundi katika mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CCL).
Namungo warejea Tanzania bila wenzao wanne HATIMAYE msafara wa wachezaji wa Timu ya Namungo umeanza safari ya kutoka Hotelini kuelekea Uwanja wa Ndege nchini Angola kurudi Tanzania huku wanne wakiachwa karantini. Namungo walikwama nchini...
Namungo bado mambo magumu Angola NI kama sinema vile kwa kile kinachoendelea kuikumba timu ya Namungo nchini Angola wakiwasubiri wachezaji wao watatu na Mtendaji Mkuu wao ambao waliwekwa karantini kwa madai ya kuwa na virusi vya...
Namungo wakutana na figisu za hatari Angola Covid 19. Mwanaspoti imefanya mawasiliano na mmoja wa viongozi katika msafara huo, Ibrahim Mohamed ambaye amekiri kuzuiliwa kwa msafara huo uwanja wa ndege. Ibrahim amesema katika msafara wao...
Simba kushusha mziki mnene kesho Kocha msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kesho Jumamosi huenda nyota wake kibao wakaonekana kwenye mechi yao ya pili watakapoivaa Mtibwa Sugar.