Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Simba wanautaka ubingwa nyie! wameingiza full mziki

Simba anacheza na Namungo ikiwa ni mechi ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi huku kocha mkuu wa timu hiyo Pablo Franco alionyesha kuwa na nia ya kutinga fainali na kubeba ubingwa.

Mechi hiyo itakayochezwa Uwanja wa Amaan kuanzia saa 2.15 usiku wa leo mshindi ataenda kucheza fainali na Azam ambao wameipndosha Yanga kwa penalti 9-8 baada ya dakika 90 kutoka sare tasa.

Kikosi cha Simba kiko hivi Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammed Husein, Joash Onyango, Henock Inonga, Jonas Mkude, Denis Kibu, Sadio Kanoute, Meddie Kagere, Rally Bwalya na Pape Sakho.

Wachezaji wa akiba ni Ally Salim, Israel Mwenda, Pascal Wawa, Bernard Morrison, Mzamiru Yassin, John Bocco, Chris Mugalu na Hassan Dilunga

Upande wa Namungo ni Jonathan Nahimana, Philipo Mayonbya, Emmanuel Charles, Abdulmaliki Zacharia, Frank Magingi, Abdulrazack Mohamed, Obrey Chirwa, Abdulaziz Makame, Reliant Lusajo, Shiza Kichuya na Sixtus Sabilo.

Wachezaji wa akiba ni David Kisu, Fredy Tangalo, Seleman Bwenzi, Lucas Kikoti, Khamis Khalifa, Hashim Manyanya, Super Kihwelo, Ibrahim Mkoko, David Molinga, Jacob Masawe na Khamis Faki