Hawa wana balaa katika kupiga faulo, si utani KUPIGA faulo ni zoezi gumu na vilevile ni kipaji. Katika Ligi Kuu Bara kuna wachezaji wachache wa aina hiyo ambao wanapopiga mipira ya michache ya namna hiyo wakikukosa ujue una bahati.
Simba bab-kubwa KAMPENI za uchaguzi Simba zimeanza jana Jumatatu mchana nchi nzima. Sambamba na hilo, bosi wa Friends of Simba ametangaza kuwa wameingia kazini rasmi na kusisitiza kwamba hatumwi mtoto sokoni.
Wambura, Aveva wote chupuchupu Msimbazi >KAMATI ya uchaguzi ya Simba imetoa onyo kwa wagombea wote waliokwenda kuchukua na kurudisha fomu kwa kufanya vitendo vilivyohusishwa na kampeni ikiwemo kile cha Mwenyekiti wa zamani wa Simba,...
Uchaguzi Simba waingiza fedha >MAMBO ya fedha hayo. Zoezi la kuchukua fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongizo wa klabu ya Simba lilikamilika juzi Jumatano huku likikusanya Sh9.7 milioni zikiwa ni ada za uchukuaji fomu...
Tukuyu Stars: Waliinusuru Simba JINA la Tukuyu Sars linapotajwa linawakumbusha mambo mengi wapenda soka nchini.
Cheka, Miyeyusho aibu yao, aibu yetu >KISICHO riziki hakiliki. Mabondia wa Tanzania Francis Cheka ‘SMG’ na Francis Miyeyusho kwa pamoja wameshindwa kuipeperusha vyema bendera ya nchi katika mapambano yao ya kimataifa...
Yanga: Ni mkono wa Mtu >KIPIGO cha mabao 2-1 ilichokipata Yanga jana Jumapili kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga mbele ya Mgambo JKT, kimewashitua mashabiki wa timu hiyo ambao walikuwa wakidai kwamba kuna mkono wa mtu.
Makocha wa TFF waingizwa mkenge Dar JOPO la wang’amuzi vipaji la Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF) limeingizwa mkenge. Limetangaza wachezaji wapya 36 lakini likaingia mkenge kwa straika,Ramadhan Kapalamoto (Kinondoni) ambaye...
Azam FC yajisalimisha zake CAF mapema AZAM FC imetuma majina ya kikosi chake kitakachoshiriki Kombe la Shirikisho Afrika huku ikitema wachezaji watano na kuongeza wengine sita katika timu iliyoshiriki mwaka jana.
Yondani: Beki wa kati asiye na mpinzani Ligi Kuu Bara NANI asiyefahamu makali ya Kelvin Patrick Yondani ‘Vidic’ wa Yanga anapokuwa kwenye himaya yake ya ulinzi ambapo sasa anahesabika kuwa ndiye beki bora wa kati Tanzania.