Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

112 results for Matereka Jalilu :

  1. Lebron, mwanawe watakavyokipiga NBA

    REKODI mpya imewekwa kwenye mchezo wa mpira wa kikapu duniani, na hii imetokea kwenye Ligi ya NBA, baada ya jana Ijumaa, Los Angeles Lakers kumtambulisha kikosini mtoto wa nyota wa timu hiyo...

  2. Celtics yaipa hesabu ngumu Lakers NBA

    JUMANNE wiki hii, Boston Celtics ya Ukanda wa Mashariki, ilishinda taji la kwanza kwao baada ya 16, huku ikisahihisha makosa ya mwaka 2022 ilipokaribia kulinyakua kabla ya kufungwa kwenye fainali...

  3. Celtics ilivyotibua rekodi ya Mavericks

    FAINALI ya Ligi ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA) imeanza rasmi juzi Ijumaa kwenye Uwanja wa TD Garden, Boston, Ukanda wa Mashariki unaowakilishwa na Celtics na ilicheza dhidi ya Dallas Mavericks.

  4. Vichapo vya msuta Wilder kustaafu ngumi

    KABLA ya kupanda ulingoni kukipiga dhidi ya bondia Zhilei Zhang, Alfajiri ya Jumapili iliyopita, bondia Deontay Wilder alisisitiza kwa tambo nyingi hatapigwa na Zhang na ikitokea akapoteana...

  5. Nadal njia panda Olimpiki 2023

    LICHA ya kuporomoka kwenye viwango vya ubora wa tenisi ya wanaume duniani, nyota Rafael Nadal ametumia nafasi ya kipekee ili kushiriki michuano mikubwa ijayo ya Olimpiki ya Paris...

  6. Fury, Usyk kitapigwa Februari 27

    LONDON. ENGLAND. IMETIKI. Lile pambano la wakali wawili wa masumbwi, Tyson Fury na Oleksandr Usyk la uzito wa juu (Heavyweight) kuwania mikanda minne (undisputed), rasmi sasa litafanyika Februari...

  7. WATAWEZA? Wanasubiriwa kurudisha, kuweka heshima 2024

    NI siku ya tatu baada ya Mwaka Mpya 2024. Msimu wa michezo unazidi kupamba moto na wanamichezo wanazidi kujipanga kwa mwaka huu kuona hadi Desemba watakuwa wamefanya nini. Kila mtu anataka kuanza...

  8. Kagere fresh, bado Kazadi

    BAADA ya Meddie Kagere hatimaye kufuta gundu la kutofunga muda mrefu, shughuli pevu imebaki kwa Francy Kazadi. Kagere alifunga bao lake la kwanza msimu huu, akiunganisha vema mpira wa friikiki...

  9. Singida Big Stars bado Uwanja wa Liti tu

    MECHI tisa za Singida Big Stars zimeipa alama 12 na kukalia nafasi ya saba ikilingana kila kitu na Kagera Sugar, huku timu hiyo ikiwa imepata alama tisa kati ya hizo 12 kwenye viwanja vitatu...

  10. Hamilton kukosa mkwanja Mercedes

    KITENDO cha dereva bingwa mara saba wa mbio za magari ya langalanga duniani (Formula one), Lewis Hamilton kutokea kampuni ya magari hiyo, Mercedes kukosa taji la ubingwa huo mwaka jana...

Previous

Page 5 of 12

Next