Kimoja kinatosha, kikubwa pointi tatu! "Kimoja kinatosha, kikubwa point tatu", Ndivyo walivyosikika mashabiki wa Yanga wakiimba baada ya mchezo wao dhidi ya Polisi Tanzania kumalizika ndani ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha.
Yanga yavunja mwiko...Mayele, Ambundo safii Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele na winga Dickson Ambundo, wamejikuta wakitengeneza pacha safi la maangamizi hadi kuzaa bao la ushindi kwa Yanga dakika ya 64.yake na anayemfuatia baada ya...
Kadi za Yanga zazua balaa Arusha Ikiwa zimebaki Dakika chache kabla mchezo wa Yaga dhidi ya Polisi Tanzania kuanza, huko nje baadhi ya mashabiki wameshindwa kuingia kuutazama mchezo huo mubashara kutokana na kadi zao...
Simbu apigwa chini mita 10,000 Mwanariadha Nyota wa Tanzania, Alfonce Felex Simbu amejikuta akipigwa bao na wanariadha chipukizi kutoka Arusha katika michuano ya mbio za uwanjani za mita 10,000.
Yanga washerekea pointi tatu na Yatima Arusha UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kusherehekea ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Dodoma Jiji FC, na watoto Yatima waishio katika kituo cha Faraja Orphanage kwa kuwapatia msaada wa vyakula mbali...
Yanga yaongeza deni soka Arusha Arusha. Ukiachana na ushindi wa mabao 3-1 walioipata Yanga dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu, juzi, lakini burudani waliyotoa timu zote imekoleza deni la soka Arusha. Kabla ya...
Timu 25 kuibeba AFC Chuga ARUSHA. ZAIDI ya timu 25 zinashiriki bonanza maalumu la soka kuichangia timu ya AFC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza. Bonanza hilo lililoandaliwa na uongozi wa timu hiyo, linafanyika kwa siku...
Wachezaji wapewa masharti magumu WAKATI baadhi ya klabu nchini zikianza mazoezi ya pamoja na kueleza namna wanavyochukua tahadhari dhidi ya corona, Chama cha Madaktari wa Michezo (TASMA) kimetoa muongozo wa mazoezi hayo na namna...
Mbappe amlia kiapo Emmanuel Amunike Star Kelvin aliwaondoa hofu wadau wa michezo nchini wanaomhukumu kwa umri wake mdogo na kusema kuwa kipaji hakiangilii umri kwani uwezo mkubwa alionao ni wa kupambana hivyo kuwaomba dua Watanzania...
Wanariadha wa jeshi, Ambassador waibeba Tanzania Km 5 Mbio za Ngorongoro Marathon zimefanyika leo wilayani Karatu kwa ajili ya kupinga ujangili na kuhamasisha utalii zilizoandaliawa na kampuni ya Meta Sport Promotion na kuhitimishwa katika viwanja...