Dar City, Petro De Luanda vita ya kisasi BAL DAR City inatarajiwa kucheza na Petro de Luanda ya Angola katika mechi ya robo fainali ya Basketball African League (BAL) ikitajwa itakuwa vita ya kisasi.
Mashabiki wamgeukia Mbappe, wataka aondoke STAA wa Real Madrid, Kylian Mbappe anakabiliwa na presha kubwa kutoka kwa mashabiki wa klabu hiyo ambao wamepiga kura ya kutaka auzwe.
Harry Kane aifikia rekodi ya Ronaldo UEFA STAA wa Bayern Munich na England, Harry Kane ameifikia rekodi ya kipekee ya Cristiano Ronaldo katika Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kufunga katika mechi sita mfululizo za hatua ya mtoano.
Siri imefichuaka! Andoni Iraola kutua Crystal Palace RIPOTI za kushtukiza kutoka nchini Hispania zinadai kuwa, kocha wa Bournemouth, Andoni Iraola, yuko hatua za mwisho kujiunga na Crystal Palace, huku akitarajiwa kuondoka kwa "The Cherries" hivi...
Messi alivyotikisa MLS na kupita rekodi za Barcelona WAKATI Lionel Messi aliposaini kuichezea Inter Miami majira ya kiangazi 2023, alibadilisha kabisa mwelekeo wa klabu hiyo na Ligi Kuu Marekani (MLS) kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa...
Balikwisha, Kalimuendo kuongeza nguvu DR Congo WAKATI DR Congo ikiwa na hesabu za maandalizi ya kutosha kuelekea Kombe la Dunia 2026, shirikisho la soka la nchi hiyo, FECOFA linaendelea na mkakati wa kuwavuta wachezaji wenye asili ya Congo...
Carrick atia neno afya ya Fergie KOCHA wa muda wa Manchester United, Michael Carrick ameweka wazi jinsi alivyoguswa na taarifa za ghafla kuhusu afya ya Sir Alex Ferguson, aliyekimbizwa hospitali muda mfupi kabla ya mechi dhidi...
Chelsea yamtoa machozi Thiago Silva, mashabiki wamuunga mkono MAPENZI ya Thiago Silva kwa klabu yake ya zamani, Chelsea, yameonekana kumpa maumivu makali baada ya kushuhudia vijana hao wa London wakisulubiwa nyumbani dhidi ya Nottingham Forest jana...
Nyota 23 wa DR Congo kucheza BDL 2026 WAKATI Ligi ya Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), ikitarajiwa kuanza Mei 16, mwaka huu, wachezaji 42 wa kimataifa wamesajiliwa katika timu tofauti, huku 23 wakiwa Wakongomani.
Enzo Maresca achomoza warithi Guardiola Man City KOCHA wa zamani wa Chelsea FC Enzo Maresca ameibuka kinara katika orodha ya makocha wanaoweza kumrithi Pep Guardiola Manchester City, iwapo Mhispania huyo ataamua kuondoka mwishoni mwa msimu huu.