Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8830 results for Mwandishi :

  1. Aubameyang atajwa kuikabili Super Eagles mechi ya mchujo Kombe la Dunia 2026

    Kuelekea mechi muhimu ya mchujo wa Kombe la Dunia la FIFA 2026 dhidi ya Nigeria, Super Eagles, timu ya taifa ya Gabon, inayojulikana kama Panthers, imetangaza kikosi chenye wachezaji 27.

    AUBA Pict
  2. Amorim aanika mbinu atakayoitumia dhidi ya Liverpool

    Hatimaye Kocha wa Man United, Ruben Amorim amekiri kujipanga kutumia mfumo mpya wa mipira mirefu katika mechi za Ligi Kuu ya England, baada ya kuwaambia wachezaji wake wamekosa makali, hivyo...

    MAN UTD Pict
  3. Sinema nzima kufukuzwa kwa Ange ni hivi

    KOCHA raia wa Australia Ange Postecoglu anadaiwa kuwa alipewa taarifa ya kufutwa kazi akiwa njiani kuelekea katika vyumba vya kubadilishia nguo baada ya kumalizika mchezo wao wa Ligi Kuu England...

    SINEMA Pict
  4. AEK Larnaca yaishangaza Crystal Palace, Fiorentina yatembeza dozi

    Mechi ya nyumbani kwa Crystal Palace kwenye hatua ya makundi ya UEFA Conference League haikuenda kama walivyotarajia, huku Edin Džeko akiweka rekodi katika ushindi wa Fiorentina, mitanange hiyo...

  5. Pauni 57 milioni kumng’oa Bruno Old Trafford, mwenyewe atia neno

    Imefahamika kuwa, kiungo na nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, huenda akaondoka kwenye klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu kwa dau la Pauni 57 milioni.

    BRUNO Pict
  6. Mnigeria aing'oa Polisi Kenya, tumaini limebaki kwa Nairobi United

    MABAO mawili yaliyowekwa kimiani na straika Mnigeria, Sunday Adetunji anayekipiga Al Hilal ya Sudan yametosha kuing'oa Polisi Kenya katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

    POLISI Pict
  7. Ile vita ya Amorim, Slot inaendelea England

    KUMEANZA kuchangamka. Ndicho unachoweza kusema baada ya kocha wa Manchester United, Ruben Amorim kuingia kwenye vita ya maneno na mwenzake wa Liverpool, Arne Slot kufuatia kauli yake ya kuponda...

    VITA Pict
  8. Arteta: Bado nina imani kubwa na Viktor Gyokeres

    KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, amemwagia sifa Viktor Gyokeres kwa juhudi za kupambana tangu alipoanza kumpa nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Washika Bunduki hao wa jijini London.

    GYOKERES Pict
  9. Pep Guardiola amaliza utata ishu ya Erling Haaland

    KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amezima uvumi unaomhusisha Erling Haaland na kuhamia Barcelona, akisisitiza kuwa mshambuliaji huyo “sio mjing ” kiasi cha kutaka kuondoka Manchester City...

    GUARDIOLA
  10. TRIONDA: Mpira wa ‘AI’ Kombe la Dunia 2026

    SHIRIKISHO la Kandanda Duniani (Fifa) limezindua mpira utakaotumika katika Kombe la Dunia 2026 ambao una maboresho kibao ya kiteknolojia ikiwemo akili unde (AI).

    MPIRA Pict
Previous

Page 371 of 883

Next