Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9782 results for Mwandishi :

  1. Mashabiki wamkomalia Metacha

    MASHABIKI wa timu ya Yanga baada ya mchezo wao dhidi ya Ruvu shooting wameamua kumsubiri nje kipa wao Metacha Mnata kutokana na kitendo chake cha kuwaonyeshea ishara mbaya yambaya baada ya...

  2. PRIME Sasa ni Gamondi na Mkude

    YANGA wameshamalizana asilimia kubwa kimazungumzo na kiungo, Jonas Mkude lakini wameliacha faili lake kwa Kocha Miguel Gamondi afanye uamuzi wa mwisho muda wowote wiki hii atatangazwa. Mkude...

  3. Simba, Kaizer Chiefs kitaeleweka Jumamosi hii

    Baada ya sekeseke la mechi ya watani wa jadi (Simba na Yanga) iliyokuwa ipigwe Jumamosi iliyopita kwenye dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam kuwaacha wapenda soka vinywa wazi, utamu umehamia ligi...

    Simba
  4. Yanga, Aziz Ki uso kwa uso

    ACHANA na stori za mitandaoni. Mwanaspoti pekee ndilo litakalokupa habari za uhakika za usajili. Iko hivi; Aziz KI amebakiza asilimia 10 tu kumalizika na sasa mwenyewe amefunguka akifichua kwamba...

  5. Pro wa Twiga Stars kaiva

    MWANAHAMISI Omary ‘Gaucho’ anayecheza soka la kulipwa nchini Morocco katika klabu ya Shabab Atlas, ameanza mazoezi na timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, kujiandaa na mashindano ya COSAFA...

  6. Dante aibuka upya Yanga  

    ALIYEKUWA beki wa Yanga, Andrew Vicent ‘Dante’ ameikalia kooni klabu hiyo baada ya kuweka wazi kwamba bado kuna sehemu ya pesa zake za usajili anaidai.

  7. PRIME Azam, Mtibwa patachimbika Chamazi

    LIGI Kuu ya Vijana U-20 imefikia patamu wakati leo mechi za nusu fainali zitakapopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es Salaam, huku macho na masikio ya mashabiki yakiwa kwenye...

  8. Penalti ya Silva yazua gumzo, Lunin afichua siri 

    Kwa kawaida katika soka wadau, makocha na wachezaji wana usemi kuwa penalti huwa hazina mwenyewe. Ndivyo unavyoweza kuelezea kilichotokea usiku wa jana Jumatano kwenye Uwanja wa Etihad wakati...

  9. Kisa umri, Ronaldo atupwa nje Saudia

    KOCHA wa Al-Nassr, Jorge Jesus, amesema Cristiano Ronaldo hatakuwa sehemu ya kikosi chake kitakachopambana na Al-Zawraa ya Iraq katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Asia leo Jumatano, Oktoba Mosi 2025.

    RONALDO Pict
  10. Mpo? Man United inakuja mjue!

    MSIMAMO unasoma, Manchester United ipo kwenye nafasi ya sita, ikiwa imekusanya pointi 16 katika mechi tisa, ikishinda tano, sare moja na vichapo vitatu.

    MAN Pict
Previous

Page 331 of 979

Next