Emiliano Martinez anaitaka Man United KIPA Emiliano Martinez amepanga kulazimisha dili la kwenda kujiunga na timu ya ndoto zake, Manchester United, imeelezwa.
Mechi tisa zaleta shida Man City MANCHESTER City imekumbana na adhabu ya kupigwa faini ya Pauni 800,000 baada ya kufanya makosa kwenye mechi tisa za Ligi Kuu England kwa kuvunja kanuni za mchezo.
Kombe la Dunia... Madrid na Pachuca, Juve na Wydad REAL Madrid itashuka uwanjani bila ya huduma ya supastaa wao Kylian Mbappe katika mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi kwenye fainali za Kombe la Dunia la Klabu dhidi ya Pachuca, Jumapili.
Twiga Stars yatwaa ubingwa CECAFA kwa rekodi za aina yake Timu ya taifa ya soka ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imetwaa ubingwa wa mashindano ya Wanawake ya Baraza la vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) baada ya kuichapa...
Panga la Pep kumgusa Gundogan KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amefungua mlango kwa kiungo wao, Ilkay Gundogan kuondoka na kukiri Manchester City italazimika kuuza baadhi ya wachezaji majira haya ya kiangazi.
Oklahoma City Thunder yabeba ubingwa NBA 2025 Oklahoma City Thunder imeandika historia kwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), baada ya kuichapa Indiana Pacers kwa pointi 103-91 katika mchezo wa saba (Game 7) ya fainali...
Isak, Newcastle United wamefikia pabaya STAA wa Newcastle, Alexander Isak inadaiwa amechukizwa sana na kitendo cha viongozi wa timu yake kumwambia wazi hatauzwa dirisha hili la majira ya kiangazi jambo ambalo limevunja matumaini yake...
Van Dijk: Bado tunataka straika NAHODHA wa Liverpool, beki wa kati Virgil van Dijk amesema timu hiyo ya Anfield bado ina tatizo kwenye safu yake ya ushambuliaji, inahitaji straika mpya baada ya kuchapwa na Crystal Palance...
Romeo Beckham anavyotingisha kwenye mitindo WAKATI flani aliwahi kucheza soka kwenye timu za vijana za Arsenal na Inter Miami, lakini akaona haimpi. Akaacha.
Penalti ya Bruno yaanzisha mjadala MJADALA umeibuka huko Manchester United kuhusu chaguo la mchezaji wa kupiga penalti za timu hiyo zitakazopatikana kwenye mechi zao.