PRIME Ligi Kuu Bara yapasuka vipande vitatu ZIMEBAKI hatua chache kumfahamu bingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu sambamba na zile timu zitakazoshuka daraja. Wakati hayo yakisubiriwa kwa hamu hivi sasa ligi hiyo imegawanyika vipande vitatu.
Singida Black Stars inavyofukuzia ufalme wa Azam FC SINGIDA Black Stars ni moja ya timu zinazovutia Ligi Kuu Bara ikionyesha kiwango cha juu msimu huu kikiwa ni kielelezo cha mabadiliko makubwa kutoka msimu uliopita na ilikuwa ikifahamika kama Ihefu.
Sowah awapiga bao Dube, Ahoua KATIKA msimu huu wa Ligi Kuu Bara vita ya ufungaji imekuwa kali zaidi kuliko misimu uliopita kwa wachezaji wengi kuibuka na kuonyesha makali - mmoja kati yao akiwa ni Jonathan Sowah wa Singida...
PRIME Kocha Stellenbosch awahofia Mpanzu, Kibu KOCHA wa Stellenbosch FC, Steve Barker, ameanza kuingiwa ubaridi kabla ya kuvaana na Simba katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, akiwataja Kibu Denis na Elie Mpanzu kuwa...
PRIME STELLENBOSCH: Wasauz walioshika tiketi ya Simba fainali CAF WANA nusu fainali wawili wanaokwenda kukutana katika Kombe la Shirikisho Afrika, Simba na Stellenbosch FC, wameweka rekodi mpya kutokana na kufika hapo kwa mara ya kwanza.
Simba yaing'oa Al Masry, yatinga nusu fainali CAFCC HISTORIA imeandikwa! Mnyama ameenda nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Al Masry ya Misri kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Juhudi za kuondoa maji zashika kasi Kwa Mkapa WAKATI umesalia muda mfupi kabla ya mchezo wa robo fainali ya pili kupigwa, hali ya hewa ya mvua iliyoanza kunyesha mapema leo imeleta changamoto katika maandalizi ya mchezo huo.
PRIME Staa Singida BS ataja sababu kubadili uraia kuwa Mtanzania NI nadra sana kwa mchezaji wenye umri mdogo kutoka Afrika Magharibi kuhamia kwenye nchi za Afrika Mashariki na si tu kuzoea maisha, bali pia kuamua kuifanya nchi hiyo kuwa nyumbani.
Dube, Mzize akili mbili kwa Coastal Union IKIWA ni kati ya timu zinazokabiliwa na hatari ya kushuka daraja, Coastal Union ya Tanga ina kazi kubwa mbele ya Yanga wakati timu hizo zitakapokutana Jumatatu hii kwenye Uwanja wa KMC Complex...
Damaro aitaka michuano ya kimataifa KIUNGO wa Singida Black Stars, Mohamed Damaro,22, anaamini klabu yake ina nafasi kubwa ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao, hasa Kombe la Shirikisho Afrika, endapo watamaliza nafasi ya...