Msala wa Arsenal mechi zijazo ARSENAL na Chelsea imeshindikana kupata mbabe katika kipute chao cha Jumapili iliyopita kwenye Ligi Kuu England baada ya kutoka sare ya bao 1-1 uwanjani Stamford Bridge, matokeo yanayoiweka The...
McTominay aambiwa ni Barca, Madrid tu KUNA minongono kwenye klabu za Ligi Kuu England kuhusu shujaa wa Scotland, Scott McTominay, huku Everton ikidaiwa kuwa mstari wa mbele katika msako wa saini ya kiungo huyo.
Amorim akiri kuiba ujuzi kwa wapinzani KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesema kwa kutania timu yake inaiba mbinu za kufunga mabao yatokanayo na mipira ya adhabu kutoka kwa wapinzani wao kwenye Ligi Kuu England.
Maema: Hatuna cha kujitetea, tumejiangusha wenyewe KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Neo Maema, amesema kitendo cha timu hiyo kupoteza mechi mbili za kwanza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, hakuna wa kulaumiwa zaidi ya wachezaji...
Kocha Nairobi United: Tuna mlima mrefu wa kupanda CAF BAADA ya kusubiri kwa miaka sita kushuhudia timu ya Kenya inacheza mechi ya nyumbani katika michuano ya CAF hatua ya makundi, hatimaye subira hiyo imekuja na maumivu huku kocha wa Nairobi United,...
Joe Thomas anazikusanya hadi Bongo WIKIENDI hii moja kati ya matukio makubwa yaliyotokea ilikuwa ni shoo ya msanii wa R&B, Joe Thomas iliyofanyika viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam.
Candy Bleakz aporwa, atoa taarifa ya kutisha MWIMBAJI maarufu wa Nigeria, Blessing Akiode Mariam, anayejulikana zaidi kama Candy Bleakz, ameibua wasiwasi mtandaoni baada ya video yake kusambaa ikimwonyesha katika hali ya kutetemeka muda...
Mashujaa, Coastal patachimbika Kigoma WAGOSI wa Kaya iliyotoka kuopata ushindi wa mabzo 2-0 nyumbani, imesafiri hadi Kigoma tayari kwa pambano la Ligi Kuu Bara dhidi ya wenyeji wao, Mashujaa huku namba zikiwabeba.
Didi Hamann: Slot siku zake zinahesabika MCHEZAJI wa zamani wa Liverpool, Didi Hamann amesema kocha wa timu hiyo Arne Slot amepoteza ushawishi kwa wachezaji na mwisho wake unanukia katika viunga hivyo vya Anfield.