Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9731 results for Mwandishi :

  1. Duh! Huo msosi wa Haaland ni balaa

    WANASEMA hata uwe na shida vipi, usiache kula na hicho ndicho anachokifanya mtambo wa mabao wa Manchester City, Erling Haaland, anayejipongeza kila baada ya mechi kwa kupiga misosi ya nguvu ili...

  2. Chelsea hali si shwari, idadi ya majeruhi inaongezeka

    CHANGAMOTO ya majeruhi Chelsea imezidi kuongezeka katika kipindi hiki cha mapumziko ya kimataifa baada ya kiungo wao Enzo Fernandez kulazimika kuondolewa katika kikosi cha timu ya taifa Argentina.

    CHELSEA Pict
  3. Utata wa Man United kuuzwa

    IMEFICHUKA. Uvumi ulioibuliwa na Turki Alalshikh juu ya madai ya kuuzwa kwa Manchester United imeelezwa inaweza kuwa ni jambo linalohusu ujenzi wa Uwanja wa Old Trafford.

  4. Ruud Gullit afichua sababu ya kutompigia kura Lamine Yamal

    Gwiji wa zamani wa AC Milan, Ruud Gullit ametaja sababu ya kutomchagua nyota wa Barcelona, Lamine Yamal, katika upigaji kura wa tuzo ya Kopa (mchezaji bora chipukizi duniani), licha ya kinda huyo...

    YAMAL Pict
  5. Mgombea Benfica amtaka Jurgen Klopp

    MMOJA wa wagombea urais kwenye klabu ya Benfica ametoa ahadi ya kumwajiri Jurgen Klopp kwenda kuwa kocha wa timu hiyo endapo kama ataibuka mshindi kwenye uchaguzi mwezi ujao.

    MGOMBEA Pict
  6. Kocha: Man United imemvuruga Baleba

    KOCHA wa Brighton, Fabian Hurzeler amekiri kiungo wake Carlos Baleba ameathiriwa na kelele za kuhusu kukwama kwa dili lake la kwenda kujiunga na Manchester United.

    BALEBA Pict
  7. Jose Mourinho anaondoka muda wowote

    BAADA ya kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Benfica, taarifa za ndani zinaeleza kocha Jose Mourinho huenda akaondoka mwishoni mwa msimu huu kutokana na vipengele vilivyopo.

    MWAMBA Pict
  8. Amorim: Hata aje Papa sibadili mfumo

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesisitiza hata aje Papa hawezi kumshawishi kubadilisha mtindo wake wa kucheza.

  9. Ronaldo ajibu ishu ya Joao Felix

    STAA wa Ureno, Cristiano Ronaldo amekosoa maoni ya watangazaji wa kipindi kimoja cha Youtube waliokosa uhamisho wa Joao Felix kwenda Al Nassr.

  10. TFF yaufungia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeufungia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi uliopo Tabora kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu Bara kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira...

Previous

Page 258 of 974

Next