Amad Diallo: Tunacheza kitimu zaidi WATETEZI Ivory Coast imejihakikisha kwa ustadi nafasi katika robo fainali za michuno ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada ya kuichapa Burkina Faso 3-0 katika Grand Stade de Marrakech,...
Mzigo wa Real Madrid, Atletico ni kesho usiku BALAA hilo. Mahasimu Atletico Madrid na Real Madrid, watarudisha uhasama wao wa jadi watakapokutana katika nusu fainali ya Spanish Super Cup itakayopigwa Alhamisi hii huko Jeddah, Saudi Arabia.
Brama Traore adai Ivory Coast mziki mnene STALLIONS wa Burkina Faso wameondolewa katika michuno ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 hatua ya 16 bora, baada ya kupoteza kwa mabao 3-0 mbele ya watetezi Ivory Coast, huku kocha wa...
Semenyo kupimwa afya Etihad kesho WINGA, Antoine Semenyo anatarajia kukamilisha uhamisho wake kwenda Manchester City baada ya kuichezea Bournemouth mara ya mwisho Jumatano usiku.
Ndoto ya Michel Nkuka ‘Lumumba’ yazimika njiani MICHUANO ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 imefikia patamu baada ya kumalizika kwa mechi za 16 Bora na sasa ngoma imeingia robo fainali, lakini ndoto za Wakongomani hususani shabiki...
Ten Hag amerudi nyumbani, akabidhiwa FC Twente KOCHA, Erik ten Hag amepata kazi mpya katika soka, miezi minne tu baada ya kufukuzwa huko Bayer Leverkusen.
Uongozi Man United kumrudisha nyumbani Solskjaer MAMBO ni moto. Manchester United imemweka kwenye orodha Ole Gunnar Solskjaer ikitaka kumrudisha kuwa kocha wa muda kwa mara ya pili katika kikosi hicho chenye maskani yake Old Trafford.
Bao la jioni laisukuma DR Congo nje Afcon BAO la Adil Boulbina alilofunga dakika za mwisho za muda wa nyongeza lilitosha kuamua mechi ngumu dhidi ya DR Congo na kuifanya Algeria kufuzu kwenda robo fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika...
Siyo poa! Mastaa Man United hawajafurahishwa NDO hivyo. Lisemwalo ni kwamba kuna kundi kubwa la mastaa wa Manchester United hawajafurahishwa na namna klabu hiyo ilivyomfuta kazi kocha Ruben Amorim.
Rashford afikiria kurudi Man United MSHAMBULIAJI wa Manchester United ambaye na timu ya taifa ya England, ambaye kwa sasa anacheza kwa mkopo Barcelona, Marcus Rashford anadaiwa kufikiria kurudi nyumbani mwisho wa msimu huu baada ya...