Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8749 results for Mwandishi :

  1. Wakala wa Saliba aomba kikao Arsenal

    WAKALA wa beki kisiki wa Arsenal, William Saliba ametuma ombi la kukutana haraka na mabosi wa Arsenal ili kujadili mkataba mpya katika nyakati hizi ambazo Real Madrid imeonyesha kuongeza dhamira...

    SALIBA Pict
  2. Nuno mbioni kupata shavu West Ham United

    KOCHA wa zamani wa Nottingham Forest, Nuno Espirito Santo, ndiye anayependekezwa kuwa mrithi wa Graham Potter ambaye amekalia kuti kavu huko West Ham na muda wowote anaweza kufukuzwa.

    NUNO Pict
  3. Watano Liverpool nje Carabao Cup

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amewataja wachezaji watano ambao hawataonekana katika mechi ya raundi ya tatu ya Kombe la Carabao dhidi ya Southampton leo, Jumanne

    CARABAO Pict
  4. Arteta azidi kumtetea Gyokeres

    BAADA ya Victor Gyokeres kuonyesha kiwango cha chini katika mchezo mgumu wa Ligi Kuu England dhidi ya Manchester City, Kocha wa miamba hiyo ya London amemtetea, huku akiitaka timu kuendelea...

    GYOKERES Pict
  5. Madueke pigo lingine Arsenal

    WINGA wa Arsenal, Noni Madueke anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa takriban miezi miwili kutokana na jeraha la goti alilopata dhidi ya Manchester City.

    MADUEKE Pict
  6. Julian Nagelsmann afunguka kiwango cha Wirtz

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, ametumiwa ujumbe na kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani, Julian Nagelsmann ambaye amesema kiwango kisichoridhisha kinachoonyeshwa na Florian Wirtz si kosa la staa...

    WITZ Pict
  7. Duh! Huo msosi wa Haaland ni balaa

    WANASEMA hata uwe na shida vipi, usiache kula na hicho ndicho anachokifanya mtambo wa mabao wa Manchester City, Erling Haaland, anayejipongeza kila baada ya mechi kwa kupiga misosi ya nguvu ili...

  8. Chelsea hali si shwari, idadi ya majeruhi inaongezeka

    CHANGAMOTO ya majeruhi Chelsea imezidi kuongezeka katika kipindi hiki cha mapumziko ya kimataifa baada ya kiungo wao Enzo Fernandez kulazimika kuondolewa katika kikosi cha timu ya taifa Argentina.

    CHELSEA Pict
  9. Utata wa Man United kuuzwa

    IMEFICHUKA. Uvumi ulioibuliwa na Turki Alalshikh juu ya madai ya kuuzwa kwa Manchester United imeelezwa inaweza kuwa ni jambo linalohusu ujenzi wa Uwanja wa Old Trafford.

  10. Ruud Gullit afichua sababu ya kutompigia kura Lamine Yamal

    Gwiji wa zamani wa AC Milan, Ruud Gullit ametaja sababu ya kutomchagua nyota wa Barcelona, Lamine Yamal, katika upigaji kura wa tuzo ya Kopa (mchezaji bora chipukizi duniani), licha ya kinda huyo...

    YAMAL Pict
Previous

Page 241 of 875

Next