Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

477 results for Ibrahim Mussa :

  1. Manula akimbizwa hospitali, Simba ikiikabili JKT Tanzania

    KIPA wa Simba, Aishi Manula amepakizwa kwenye gari la wagonjwa baada ya kuumia dakika ya 71 ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Msimbazi na JKT Tanzania unaopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa...

  2. Gomes amuanzisha Mkude, Simba ikiwakabili African Lyon

    ZIKIWA zimesalia dakika chache kuanza kwa mchezo wa michuano Azam Sports Federation Cup (ASFC) kati ya Simba na African Lyon tayari vikosi vya timu zote mbili vitakavyocheza leo vimewekwa hadharani.

  3. Mukoko aiokoa Yanga, Feisal amwaga machozi

    firimbi ya mwisho huku wachezaji wenzake wakionekana kumfariji. Yanga Metacha Mnata, Kibwana Shomari, Yassin Mustapha ,Lamine Moro, Bakari Mwamnyeto, Zawadi Mauya/Tonombe, Feisal Salum...

  4. Chan hatua ya makundi soka limepigwa kinoma

    Kwenye michuano hiyo hatua ya makundi yamefungwa jumla ya mabao 46 huku kinara akiwa ni Morocco na Guinea wakifunaga sita kila moja

  5. Stars CHAN matumaini kibao

    MARA ya mwisho Tanzania kushiriki michuano ya Chan ilikuwa mwaka 2009 ambapo iliwakilishwa na nyota kibao wakiwa chini ya kocha mwenye hamasa kubwa Mbrazil, Marcio Maximo.  Nyota 23 wa Stars kwa...

  6. Stars tayari kushiriki Chan

    wote walioshiriki walienda nje ya uwanja kulipokuwa na pipa zenye barafu na kuingia mule kwa awamu ambapo kila mchezaji alikaa ndani ya pipa kwa dakika zisizopungua tano. Sambamba na hilo Nahodha...

  7. Mechi ya kipimo cha raha!

    TAIFA Stars inakipiga na DR Congo jioni hii jijini Dar es Salaam. Ni mechi ya kirafiki kujiwinda na michuano ya Chan inayofanyika Januari 16 nchini Cameroon.

  8. Msimu wa 2020/21 jinsi unavyoipa nafasi Yanga kutwaa Ubingwa

    moja kwa moja kikosi cha kwanza na baadhi wanafanya vizuri wakati wanne wanaanzia benchi. Wachezaji ambao waliingia moja kwa moja kikosi cha kwanza ni beki, Bakari Mwamnyeto aliyetokea Coastal...

  9. Mazoezi ya Cheka Dar si mchezo, akimsubiri Mfilipino Dom

    Martin watazichapa kuwasindikiza. Undule atazichapa na Alex Kachewele, Martin Joseph dhidi ya Philip Okololo na Nasser atazichapa na Ibrahim Makubi. Wengine ni Kudra Tamim dhidi ya Yuko...

  10. Mifumo mitatu kuibeba Simba

    lango la timu pinzani ila shida itakuwa pale ambapo wapinzani wataamua kufanya mashambulizi ya kushtukiza Simba watabaki wachache langoni kwao katika kuokoa. Katika benchi la wachezaji wa akiba...

Previous

Page 25 of 48

Next