LEO NDO LEO! Emirates kitaumana Arsenal v Man United YANINI kuandikia mate. Wino si upo Emirates? Hizo ni tambo za mashabiki wa Arsenal na Manchester United wenye mazibizano yasiyokwisha.
Simba yaweka rekodi mpya ya vipigo CAF WANASIMBA wanataka kuiona timu yao inafuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kama kawaida yake ilivyofanya misimu saba iliyopita kuanzia 2018, lakini sasa mlima ni mrefu kutokana na matokeo...
Bayern yakwaa kisiki, Augsburg yaitibulia BAADA ya Bayern Munich kucheza mechi 27 mfululizo bila kupoteza katika Bundesliga, rekodi hiyo imefikia mwisho wa ghafla jioni hii ya Jumamosi baada ya Augsburg, waliokuwa wakihangaika, kupata...
Ufahamu mchezo wa mieleka ya kidole? Thumb Wrestling ni mchezo wa ushindani wa vidole gumba vya mikono unaochezwa kwa kushindana, ambao kwa sasa unachezwa zaidi nchini Marekani na England.
Pep Guardiola awasifu Arsenal, kisha achimba mkwara PEP Guardiola amewamwagia sifa vinara wa Ligi Kuu England, Arsenal, akiwataja kama timu bora zaidi duniani kwa sasa.
Mainoo ahakikishiwa maisha Man United MICHAEL Carrick amesema Manchester United inahitaji wachezaji kama Kobbie Mainoo, akiwataja kuwa ni “msingi wa klabu”.
Hii kitu ya Palmer ngoja tuone mwisho KWA maelezo ya kocha wa Chelsea, Liam Rosenior ni kwamba kiungo Cole Palmer anafurahia maisha Stamford Bridge.
Ronaldo ampokea Mane kwa keki ya ubingwa Simba wa Teranga ilitwaa taji lao la pili la AFCON baada ya fainali yenye utata dhidi ya Morocco, wenyeji wa mashindano, mjini Rabat Jumapili.
Real Madrid yapiga kimya ishu ya Trent kuondoka BEKI wa kulia wa kimataifa wa England, Trent Alexander-Arnold, 27, hajaambiwa aondoke Real Madrid, licha ya taarifa kutoka Hispania kudai kuwa kocha mpya Alvaro Arbeloa amemtaka atafute timu...
Maxey atinga top 5 mastaa wanaowania MVP 2025/26 MLINZI nyota wa Philadelphia 76ers, Tyrese Maxey amecheza kwa kiwango bora msimu mzima na wiki hii ameingia katika kinyang'anyiro cha mastaa watano wanaowania ile nafasi ya mchezaji bora (MVP) wa...