Amorim asema kitu kuhusu Mainoo KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amekubali kwamba kitendo cha Kobbie Mainoo kukosa muda wa kutosha wa kucheza umemfanya mchezaji huyo aathirike kisaikolojia.
Majeruhi Arsenal, Arteta anazidi kuvurugwa MIKEL Arteta amesema Arsenal ipo kwenye hali ya hatari kutokana na kuandamwa na majeruhi mfululizo kikosini.
Wenger kawajaza England, kisha kawakataa KOCHA, Arsene Wenger amesema England inaweza kushinda Kombe la Dunia, lakini amekiri kikosi cha Three Lions haina ubora kama Ufaransa.
Duh! Yaya Toure bado ana bifu na Guardiola KIUNGO, Yaya Toure ameamsha upya bifu lake na kocha Pep Guardiola na kumwita majina mabaya Mhispaniola huyo wakati alipofanyiwa mahojiano.
Dharau zamponza Garnacho, awekwa benchi dhidi ya Atalanta ALEJANDRO Garnacho ameishia kuwekwa benchini kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Chelsea na Atalanta kutokana na kile alichokizungumza kwenye mkutano wa waandishi wa habari.
Evra amtetea Ruben Amorim BEKI wa zamani wa Manchester United, Patrice Evra, ameonyesha kumuunga mkono kocha wa mashetani wekundu hao, Ruben Amorim, akidai kuwa ndiye mtu sahihi kwa sasa kwani anatanguliza maslahi ya...
Arteta atoa msimamo wa beki Saliba KOCHA, Mikel Arteta amefunguka juu ya hali ya kiafya ya beki wa kati wa Arsenal, William Saliba.
Tanzania yaporomoka nafasi tano viwango vya ubora FIFA Tanzania imeporomoka kwa nafasi tano kwenye viwango vya ubora vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) katika chati ya viwango ya mwezi Novemba.
Sadio Mane atoa stori ya Jurgen Klopp STAA Sadio Mane amefichua kwamba ameombwa radhi na kocha Jurgen Klopp baada ya kushindwa kumsajili wakati akiwa Borussia Dortmund ya Ujerumani.
Neto akichafua, Chelsea ikiichapa Burnley kwao CHELSEA imezika rasmi jina la utani la ‘Cole Palmer FC’ shukrani kwa kiwango matata kabisa cha mshambuliaji Pedro Neto.