Pwani mwenyeji mashindano ya riadha taifa SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT) limeutaja mkoa wa Pwani kuwa mwenyeji wa mashindano ya taifa ya riadha mwaka huu.
Mikataba yamnyima staa fura ya kucheza WAKATI wachezaji wakiwa katika maandalizi ya kuanza kwa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) 2026, nyota wa mchezo nchini, Jimmy Brown, ametaja sababu zilizomfanya asicheze michuano hiyo...
Guede ajiapiza Singida Black Stars LICHA ya kupoteza mchezo kwa mabao 2-1 ugenini dhidi ya AS Otoho, mshambuliaji Joseph Guede amesema bado wana nafasi ya kufanya vizuri na kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho...
Cunha amtaka Zirkzee abaki STAA, Matheus Cunha amemwambia Joshua Zirkzee kuwa anapaswa kusahau wazo la kuondoka Manchester United na kujikita zaidi katika kusaidia timu.
Uefa kususia Kombe la Dunia VIONGOZI wa soka Ulaya wamefanya mazungumzo ya awali kuhusu hatua wanazoweza kuchukua ili kujibu kile kinachofanywa na Rais wa Marekani, Donald Trump kutaka kuichukua Greenland mikononi mwa...
Marc Guehi mlango wazi kusepa BEKI wa Crystal Palace, Marc Guehi anaweza kuondoka Crystal Palace mwezi huu ikiwa Manchester City itakubali kutoa Pauni 40 milioni ambayo ni ada yake.
Lejendi azigonganisha Chelsea, Liverpool LEJENDI wa Chelsea, Joe Cole ameiingiza vitani timu hiyo dhidi ya Liverpool baada ya kuweka wazi kwamba kocha Jurgen Klopp ni mmoja kati ya wale wanaoweza kuchukua mikoba ya Enzo Maresca
Harry Kane kawa mtamu kinyama yani! STRAIKA, Harry Kane ameripotiwa kuwa na pato linalofikia thamani ya Pauni 100 milioni kwa sasa huku hilo likinganishwa na thamani yake ya mabao anayofunga kila siku, yanayotajwa kuwa na thamani...
Liverpool yaandamwa na majeruhi kibao IDADI ya mastaa wanaosumbuliwa na majeraha katika kikosi cha Liverpool imezidi kuongezeka baada ya Jeremie Frimpong kupata jeraha la nyama za nyuma ya paja (hamstring) katika mechi dhidi ya...
Okocha: Ile ya Osimhen, Lookman safi sana NAHODHA wa zamani wa Super Eagles na fundi wa boli, Jay-Jay Okocha amesema mvutano uliopo kati ya Victor Osimhen na Ademola Lookman una manufaa makubwa kwa timu ya taifa ya Nigeria hasa katika...