Norris, Vestappen kazi ipo F1 USHINDI wa dereva Lando Norris wa McLaren kwenye mbio za Uholanzi ambapo ndiko nyumbani kwao Max Verstappen, kumezidisha utamu mwishoni mwa mbio za magari duniani maarufu Formula One ambazo...
Docic, AD kumrithi Lebron LICHA ya supastaa wa mpira wa kikapu na timu ya Los Angeles Lakers inayoshiriki Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), LeBron James kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kubaki, nyakati...
Mayweather Jr kwanini lakini? BONDIA anayetajwa kuwa bora kwa muda wote kupitia rekodi zake za ulingoni, Floyd Mayweather Jr ni kama anatakiwa kuchagua moja kati ya kupotezea mapambano anayocheza ya maonyesho au aendelee bila...
Curry kinara wa mastaa watakaolipwa kibosi NBA LICHA ya supastaa LeBron James kuwa na mvuto zaidi kiasi cha timu yake Los Angeles Lakers kutarajiwa kuongoza kwa mechi zake zisizopungua 40 kuonekana kwenye runinga msimu ujao wa ligi ndefu...
Top 5 kali za kuliamsha NBA TAYARI ratiba ya ligi ndefu (regular season) imeshatolewa mwanzoni mwa wiki hii, ambapo itaanza Oktoba 22 kwa mechi mbili huku moja ikiwa ni ya Ukanda wa Mashariki na nyingine ya Magharibi.
Ni Lebron vs Ant Man, Tatum vs Brunsion NBA HATIMAYE Oktoba 22 ndio tarehe rasmi ya kuanza kwa ile Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) baada ya kumalizana na shughuli ya Olimpiki iliyoshuhudia taifa hilo, likibeba tena taji hilo kwa mara ya tano...
Nadal kufuata nyayo za Federer MWAKA 2022 aliyekuwa nyota wa mchezo wa tenisi duniani, Roger Federer kutoka Uswizi ndiye alitangaza kustaafu mchezo wa tenisi. Majeraha ya hapa na pale yaliyokua yanampata yalimlazimu staa huyo...
Verstappen akiri mambo magumu F1 LICHA ya kuongoza kwenye orodha ya alama za ubingwa wa mbio za magari duniani msimu huu, dereva Max Verstappen wa Red Bull amekiri ugumu mkubwa uliopo kwa Sasa kwenye mbio hizo tofauti na...
AJ amkataa Tyson kwa Usky WAKATI akiwa na takriban mwezi mmoja kabla ya kupanda ulingoni mwezi ujao, bondia Anthony Joshua wa Uingereza, kwa mara nyingine amezungumzia pambano baina ya ndugu yake Tyson Fury dhidi ya...
Kitaumana NBA mtoko wa Krismasi WAKATI jana Jumamosi usiku mastaa wa ligi ya kikapu ya NBA, Lebron James na Steph Curry walikuwa kwenye msako wa medali ya dhahabu ya Olimpiki katika mchezo wa fainali dhidi ya wenyeji Ufaransa...