Rashford bado ana jambo Nou Camp MSHAMBULIAJI wa Manchester United anayecheza kwa mkopo Aston Villa, bado hajakata tamaa kuhusu ndoto yake ya kuhamia Barcelona licha ya mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo, Deco, kusema wiki hii...
Benitez ampeleka Trent Bernabeu ALIYEKUWA kocha wa Liverpool, Rafa Benitez amekiri beki Trent Alexander-Arnold atakwenda kuwa moto zaidi kwenye kikosi cha Real Madrid, wakati huu uvumi ukiwa mkubwa juu ya mpango wa kwenda...
Guardiola hofu tupu kwa straika Haaland PEP Guardiola amekiri kupatwa na hofu kubwa baada ya straika Erling Haaland kuanguka uwanjani na kushikilia goti kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Newcastle United wikiendi iliyopita...
Eti Saka, Saliba, Gabriel hawatasaini tena GWIJI wa Arsenal, Ian Wright amefichua wasiwasi wake juu ya mastaa watatu wa timu hiyo kwamba hawatasaini mikataba mipya - watabaki na iliyopo sasa hadi mwisho ili waondoke bure.
Chelsea buana!Eti wao sio Arsenal MASHABIKI wa Chelsea wametoa mpya baada ya kubeba mabango yaliyoandikwa “Sisi sio Arsenal” wakati walipoandamana nje ya Uwanja wa Stamford Bridge kupinga umiliki wa bilionea Todd Boehly.
Mo Salah mambo ni matamu tu SUPASTAA, Mohamed Salah amechaguliwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu England wa Mwezi Novemba, akifikia rekodi tamu kama mchezaji wa Liverpool.
Rupia atupia mbili akimng'oa Gomez kileleni STRAIKA nyota wa Singida Black Stars, Elvis Rupia mchana huu ametupia mbaoa mawili wakati timu hiyo ikiinyoa Dodoma Jiji 2-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara na kumfanya akae kileleni mwa orodha ya...
Man United yamtafuta anayevujisha siri zao MANCHESTER United imeanza uchunguzi wa kumtafuta mchezaji anayevujisha siri na mbinu za timu hiyo hadharani.
Kane mambo safi, arudi mazoezini STRAIKA, Harry Kane anapiga hatua nzuri katika kupona maumivu ya misuli yanayomkabili ambayo awali yalitishia uwezekano wa kuwa nje kwa muda mrefu.
Djed Spence aambiwa kachezee Kenya wewe BEKI wa Tottenham Hotspur, Djed Spence ameambiwa aachane na England na badala yake achague kuichezea Kenya kwenye soka la kimataifa baada ya kocha Thomas Tuchel kumtosa kwenye uteuzi.