Kesi ya matumizi... Manchester City kufanywa mfano England MANCHESTER City huenda ikakumbana na balaa la kushushwa daraja endapo itakutwa na hatia ya kuzidisha matumizi kwenye kesi ya kukiuka kanuni za mapato na matumizi katika usajili.
Alexander Isak ajadiliwa atabaki, habaki HATIMA ya straika Alexander Isak kwenye kikosi cha Newcastle United itategemea majaliwa ya timu hiyo kama itafuzu kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.
Staa wa Arsenal afutiwa kadi nyekundu KADI nyekundu aliyoonyeshwa mchezaji wa Arsenal, Myles Lewis-Skelly imeripotiwa ilitolewa kimakosa na sasa adhabu yake imefutwa, FA imetangaza.
Mabosi Madrid macho kodo kwa kiungo Enzo REAL Madrid imepanga kufanya usajili wa kushtua wa kuvamia kwenye kambi ya Chelsea kwenda kunasa saini ya kiungo Enzo Fernandez, imeelezwa.
Refa wa Arsenal atumiwa meseji mbaya, zachunguzwa POLISI imeanzisha uchunguzi baada ya mwamuzi wa soka Michael Oliver kutumiwa meseji za vitisho.
Emery kuikazia Arsenal kwa Watkins LICHA ya Arsenal kuwa na matumaini makubwa ya kuipata saini ya Ollie Watkins, Kocha wa Aston Villa, Unai Emery amedhamiria kumbakisha baada ya Jhon Duran kuwa katika hatua za mwisho kuuzwa Al Nassr.
Amorim, Rashford vita bado mbichi KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amefunguka tena kuhusu maendeleo ya mshambuliaji wa timu hiyo, Marcus Rashford na uwezekano wa kurudishwa kikosi cha kwanza.
Emery adai Rashford yupo moto mazoezini KOCHA wa Aston Villa, Unai Emery amesema amevutiwa na kiwango cha mazoezi ya mchezaji Marcus Rashford hivyo kuna uwezekano mkubwa akampa nafasi ya kucheza mechi yake ya kwanza kwenye kikosi...
Giggs aanika ishu ya Rashford LEJENDI wa Manchester United, Ryan Giggs, amesema mshambuliaji wa timu hiyo, Marcus Rashford ambaye kwa sasa anacheza kwa mkopo Aston Villa lazima akubali kujitoa na kuupenda tena mpira wa miguu...
Sergio Ramos apata timu Mexico BEKI wa mpira, Sergio Ramos ameripotiwa kushtua wengi kwa uhamisho wake wa kwenda Mexico bila ya mkewe mrembo Pilar Rubio.