Yemi Alade agonga kolabo na Ziggy Marley ndani ya Rebel Queen STAA wa muziki wa AfroPop, Yemi Alade ametoa albamu mpya inayokwenda kwa jina la ‘Rebel Queen’ inayopatikana kupitia mtandao wa muziki wa Effyzzie Music.
Kikapu Mwanza mwendo wa dozi tu TIMU za Crossover (CIC) na Young Profile zimeanza kwa ushindi katika michezo yao ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza, huku wachezaji Hamis Hamis na Bryan Edward waking’ara na kuibuka nyota wa...
Rais Samia aipongeza Stars, Morocco aweka rekodi Kocha wa Taifa Stars, Hemed Morocco anaweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kuongoza benchi la ufundi la timu hiyo kuifanukisha kufuzu Michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon).
Vipigo vimembakisha Guardiola Man City Kocha wa Manchester City Pep Guardiola, amesema alikuwa amepanga huu uwe msimu wake wa mwisho na timu hiyo, lakini ameamua kuongeza mkataba mwingine kwa kuhofia kuiangusha timu hiyo baada ya...
Neymar? tulieni muone WAKALA wa staa wa Al-Hilal, Neymar Jr amekanusha uvumi kuhusu Mbrazi huyo kuondoka kwa matajiri hao wa Saudi Arabia na kurudi Santos.
Mchakamchaka EPL kuendelea leo MCHAKAMCHAKA wa Ligi Kuu England unaendelea Jumanne. Lakini, kitu kitamu ni Jumatano, kutakuwa na mechi za kibabe zaidi, ikiwamo Tottenham Hotspur na Manchester City huko London.
Hizi hapa Gemu za uwekezaji Ulaya MAMBO ni moto kwa vijana wawekezaji kwenye soka la Ulaya wikiendi hii, kutokana na kupigwa mechi matata kabisa katika mikikimikiki ya Ligi Kuu.
Van Persie kupewa mikoba Feyenoord ROBIN van Persie amefikia makubaliano ya kuwa kocha mpya wa Feyenoord.
Guardiola amchomoa De Bruyne kimtindo SUPASTAA, Kevin De Bruyne atalazimika kutazama upya mpango wake wa kutaka kustaafu soka kwenye kikosi cha Manchester City baada ya kauli ya kocha Pep Guardiola kuhusu mahitaji ya soka la kisasa.
Piers Morgan amchana Arteta SHABIKI mnazi wa Arsenal, Piers Morgan amemshukia kocha wa timu hiyo Mikel Arteta juu ya uamuzi wake wa kuacha kusajili straika kwenye dirisha la Januari na kuigharimu timu hiyo ubingwa.