Miaka 130 ya Olimpiki Morogoro Wanamichezo mbalimbali nchini watashiriki mbio za kilomita 2.5 na kilomita 5 zitakazoanzia kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kuadhimisha miaka 130 ya Olimpiki.
Serbia yatishia kujitoa Euro 2024 SERBIA imetishia kujiondoa katika michuano ya Euro 2024, ikizishutumu Croatia na Albania kuwa na kampeni za kutaka kuwafanyia mambo mabaya.
Madina Idd aliona taji la gofu Zambia KUNA kila dalili ya Mtanzania Madina Iddi kushinda taji la ubingwa wa wazi la mashindano ya kimataifa ya gofu mjini Lusaka Zambia mwaka huu.
Azam yaifuata Simba fainali Muungano USHINDI wa mabao 5-2 ilioupata Azam FC dhidi ya KMKM, umeifanya timu hiyo kufuzu fainali ya Kombe la Muungano, michuano inayofanyika kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Xavi Simons azitosa Arsenal, man United KIUNGO wa kati wa Paris Saint-Germain Xavi Simons amefanya uamuzi juu ya wapi atacheza kwa msimu ujao na kwa mujibu wa ripoti, amechagua kusalia RB Leipzig kwa msimu mwingine na atasaini mkataba...
Goran Kopunovic apewa tatu Pamba MWENYEKITI wa Pamba Jiji, Bhiku Kotecha amesema bado wana imani kubwa na benchi la ufundi na wachezaji na hawawezi kukurupuka kufanya mabadiliko ya haraka kwa kuzingatia matokeo ya mechi mbili za...
Mbappe atua Madrid kibosi Endapo PSG ingemuuza staa huyo ingejipatia karibu Pauni 220 milioni (Euro 187.5 milioni) ya gharama ya jumla.
Chelsea akili kubwa kwa Sancho CHELSEA inadaiwa kutumia akili kubwa katika makubaliano yao na Manchester United juu ya uhamisho wa mkopo wa Jadon Sancho ambapo wameweka kipengele kitakachowazuia kumnunua mazima mwinga huyo.
Trent Alexander-Arnold alimwaga STAA, Trent Alexander-Arnold amewaambia mabosi wa Liverpool kwamba hatasaini mkataba mpya na anachotaka ni kwenda kujiunga na Real Madrid.
Trent atoa masharti mawili kubaki Anfield BEKI wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold anahitaji mkataba mrefu pamoja na kukabidhiwa kitambaa cha unahodha ili abaki Anfield.