Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9675 results for Mwandishi :

  1. Shabiki United aliyegoma kunyoa afunguka

    SHABIKI wa Manchester United ambaye amekataa kukata nywele zake hadi timu hiyo ishinde mechi tano mfululizo amezungumza kuhusu shambulio alilopata kutoka kwa shabiki mwenzake.

    KUNYOA Pict
  2. Umeme wazua moto nyumbani kwa Vini Junior

    TATIZO la hitilafu ya umeme kutoka kwenye chumba cha sauna ndicho kilichoripotiwa kusababisha moto kwenye nyumba ya supastaa wa Real Madrid, Vinicius Jr.

    UMEME Pict
  3. Pacome anukia Kombe la Dunia, Afrika Kusini hali tete

    Ivory Coast imejiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya leo Ijumaa, Oktoba 10, 2025 kuibuka na ushindi mnono ugenini wa mabao 7-0 dhidi ya Shelisheli.

  4. Real Madrid yapiga hesabu hizi kwa Haaland

    MABOSI wa Real Madrid wamewasiliana na kambi ya Erling Haaland ili kuangalia uwezekano wa kumsajili, huku ripoti zikidai kabla ya kufanikisha hilo wanataka kwanza kumuuza staa wao wa kimataifa wa...

    HAALAND Pict
  5. Isak, kocha Howe wamenuniana

    STRAIKA Alexander Isak amefichua hajazungumza na Kocha Eddie Howe tangu alipohama Newcastle United na kwenda kujiunga na Liverpool.

  6. Steven Gerrard hana kazi, kakataa kazi

    KOCHA wa zamani wa Aston Villa, Steven Gerrard amejiondoa katika kinyang’anyiro cha kuwa kocha mkuu wa Rangers baada ya kuwaambia mabosi wa timu hiyo wakati huu sio sahihi.

    GERRARD Pict
  7. Shughuli imeisha, mwamba karudi nyumbani

    Kocha mkongwe Jose Mourinho amerudi tena nyumbani, baada ya kutangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa Benfica, klabu kubwa ya Ureno ambayo aliwahi kuinoa kwa muda mfupi mwaka 2000.

    MOURINHO Pict
  8. Wachambuzi wampa Dembele Ballon d’Or

    MALEJENDI Thierry Henry na Jamie Carragher wameweka wazi wachezaji ambao wanawapa nafasi kubwa ya kushinda tuzo ya Ballon d’Or ya mwaka 2025 kuelekea sherehe za tuzo hizo zinazotarajiwa...

    DEMBELE Pict
  9. Kisa Sterling, Chelsea yapigiwa simu kali

    CHAMA cha Wachezaji wa Soka wa Kulipwa (PFA) kinaripotiwa kuwa katika mazungumzo na Chelsea kuhusu jinsi wanavyowatendea wachezaji waliotengwa Raheem Sterling na Axel Disasi.

    SIMU Pict
  10. Liverpool haishikili EPL, yaweka rekodi hii

    LIVERPOOL imeendelea kugawa dozi katika Ligi Kuu England ikifanikiwa kushinda mchezo wa tano mfululizo msimu huu baada ya kuifunga Everton mabao 2-1 katika dabi ya Jiji la Liverpool na kuweka...

Previous

Page 174 of 968

Next