Mzigo mpya EPL hewani leo! LIGI Kuu England imethibitisha kwamba itaweka hadharani ratiba ya msimu wa 2025/26, leo Jumatano.
Juventus yajitosa dili la Viktor Gyokeres, yaweka ofa mezani JUVENTUS imemwekea mezani mshambuliaji wa Sporting, Viktor Gyokeres, ofa ya mshahara wa Pauni 11 milioni kwa mwaka, ili kumsajili katika dirisha hili.
Bosi Mamelodi awaza kupenya kundi gumu KOCHA wa Mamelodi Sundowns, Miguel Cardoso amesema itakuwa mafanikio makubwa kwa timu yake endapo itapenya kwenye Kundi F, alilolitaja kuwa ni la kifo katika fainali za Kombe la Dunia la Klabu...
Jude Bellingham apewa ujanja Real Madrid KIUNGO Jude Bellingham amepewa ujanja kuhakikisha anarudi kwenye ubora wake kwa haraka kwa sababu kocha mpya wa Real Madrid, Xabi Alonso anaweza kumchezesha kwenye nafasi anayotaka.
Mashabiki wasusia gemu ya Chelsea CHELSEA imetupa kete ya kwanza kwenye fainali za Kombe la Dunia la Klabu huko Marekani dhidi ya Los Angeles FC usiku wa Jumatatu ikicheza kwenye uwanja wenye siti tupu kibao huko Atlanta.
Bosi asema hii ya Wirtz ni aibu BOSI kubwa wa Borussia Dortmund, Hans-Joachim Watzke amekosoa uhamisho wa kiungo Florian Wirtz kuondoka Bayer Leverkusen kwenda kujiunga na Liverpool kuwa ni aibu kubwa Bundesliga kwa kupoteza...
Maresca amwaminia fundi Cole Palmer KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca anaamini staa wa kikosi chake Cole Palmer atajipambanua miongoni mwa mastaa wakubwa kabisa kwenye soka la dunia wakati wa fainali za Kombe la Dunia la Klabu...
Hawa jamaa ndo kiboko ya nyavu za uwanjani tangu mwaka 2000 RAHA ya mechi bao, wanasema. Ndivyo ilivyo na ndio maana kwenye mchezo wa soka kila siku kumekuwa na marekebisho ya sheria mbalimbali ili kuona mechi zinakuwa na mvuto hasa kwenye ishu ya mabao...
Mastaa nane kupigwa bei aje Gyokeres JUVENTUS imepanga kupiga bei mastaa wanane akiwamo straika Dusan Vlahovic na kiungo Douglas Luiz ili kumudu mshahara wa mchezaji mpya inayemtaka Viktor Gyokeres.
Hojlund kuuzwa, Zirkzee kubaki MANCHESTER United imeripotiwa kuchukua uamuzi wa kumpiga chini Rasmus Hojlund, lakini Joshua Zirkzee atabaki kwenye kikosi hicho cha miamba ya Old Trafford.