Saka atia tiki usajili wa Eze BUKAYO Saka amewasha moto baada ya kusikia mpango wa Arsenal wa kutaka kumleta Eberechi Eze kwenye kikosi hicho huku jambo hilo likidaiwa kuwapa raha kubwa mashabiki wa timu hiyo ya Emirates.
Carragher akataa usajili wa Isak GWIJI wa Liverpool, Jamie Carragher amewaambia mabosi kufuta mpango wa kumsajiliAlexander Isak.
Arteta: Real Madrid wepesi tu KOCHA wa Arsenal Mikel Arteta amewatia moyo na kuwataka wachezaji wake kujiandaa vilivyo kuelekea mchezo wao ujao wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madri baada ya kufanikiwa...
Real Madrid kumnunua Trent fasta REAL Madrid ipo tayari kuilipa Liverpool mkwanja kumnasa Trent Alexander-Arnold kabla ya kufanyika kwa michuano ya Kombe la Dunia la Klabu, Juni mwaka huu.
Dah! Felix ana jambo zito Milan STAA wa Chelsea anayecheza kwa mkopo AC Milan, Joao Felix ameripotiwa mambo yake kwenye vibaya hadi wachezaji wenzake kumtenga ndani ya uwanja.
Bayern yambeba bure Jonathan Tah KATIKA maandalizi ya kushiriki michuano ya Kombe la Dunia la Klabu la FIFA, Bayern Munich imefanikiwa kumsajili Jonathan Tah kwa uhamisho wa bure kutoka Bayer Leverkusen.
Chelsea yaipiga bao Man United kwa Liam Delap CHELSEA inadaiwa kushinda vita ya kuwania saini ya mshambuliaji wa Ipswich, Liam Delap na huenda ikamtangaza wiki ijayo.
Garnacho awatibua mashabiki Man United MASHABIKI wa Manchester United kwa hasira wametuma meseji za kumfukuza staa wao Alejandro Garnacho baada ya kuonekana akiwa amevaa jezi ya Aston Villa yenye jina la Marcus Rashford.
Chelsea kujiweka pabaya Marekani CHELSEA ipo kwenye hatari ya kupangwa na timu ngumu kwenye hatua ya mtoano baada ya kupoteza dhidi ya Flamengo, Ijumaa iliyopita.
Thamani ya vikosi England hii hapa LABU za Big Six za Ligi Kuu England hadi sasa zinaundwa na vikosi vya thamani ya Pauni 5 bilioni baina yao huku pengo la thamani ya vikosi kwenye ligi hiyo likizidi kutanuka.