Jude Bellingham kuungana na Rudiger BAADA ya Antonio Rudiger kufanyiwa upasuaji wa goti, staa mwingine wa Real Madrid, Jude Bellingham yuko katika hatua za mwisho kufanyiwa upasuaji wa bega kutokana na tatizo la muda mrefu...
Desabre amkumbuka Wan-Bissaka, kuzikabili Mali na Madagascar Aliyekuwa beki wa Manchester United na sasa West Ham United, Aaron Wan-Bissaka, ameitwa rasmi kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo) kwa ajili ya mechi...
Arteta aondolewa benchi Arsenal KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta hatakuwapo kwenye benchi la ufundi la timu hiyo katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu England msimu huu kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano.
Mara paap! Vardy anakipiga La Liga STRAIKA Jamie Vardy anaripotiwa kuwekwa kwenye rada ambazo zinaweza kumpa fursa ya kwenda kukabiliana na miamba ya Hispania, Barcelona na Real Madrid kwenye LaLiga msimu ujao.
Arteta hataki kumtema Partey KOCHA Mikel Arteta ameripotiwa kwamba kwa mara ya kwanza anataka kiungo Thomas Partey asainishwe mkataba mpya wa kuendelea kubaki Arsenal.
Ekitike suala la muda Anfield STRAIKA, Hugo Ekitike anatarajia kutambulishwa kuwa staa mpya wa kikosi cha Arne Slot baadaye wiki hii baada ya Liverpool kukubali kulipa Pauni 79 milioni kunasa huduma ya mkali huyo kutoka...
Serikali yapiga marufuku jezi feki CHAN 2024 Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imewataka Watanzania kuhakikisha wanavaa jezi sahihi za timu ya taifa 'Taif Stars' katika kipindi chote cha Fainali za Mataifa ya Afrika kwa...
Kuhusu Rashford kucheza Barca ipo hivi STAA wa Manchester United, Marcus Rashford ambaye amejiunga na Barcelona kwa mkopo wa msimu mmoja katika dirisha hili, amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu hofu kwamba huenda akashindwa kucheza...
Son atoa chozi akiaga Spurs STAA na nahodha wa Tottenham Hotspur, Son Heung-min ameshindwa kuvumilia na kumwaga chozi wakati anatangaza kuachana na miamba hiyo ya London.
Eze, Guehi kutuliza mzuka BEKI wa kati, Marc Guehi na kiungo mshambuliaji Eberechi Eze huenda wote wakabaki Crystal Palace msimu huu baada ya mastaa hao kuwindwa na timu kibao.