Ulaya yote mambo ni motomoto BALAA hilo. Ndicho unachoweza kusema wakati vita ya kusaka ubingwa wa Bundesliga utakapoendelea, ambapo Bayern Munich na Bayer Leverkusen zitakuwa nyumbani kukipiga na vfL Bochum na Werder Bremen...
Makocha watano ubaoni Tottenham Hotspur KOCHA, Ange Postecoglou nyakati ngumu zimeendelea kumwandama huko Tottenham Hotspur na hilo linaweza kumgharimu kibarua chake baada ya kuchapwa na Chelsea, usiku wa Alhamisi.
Pep Guardiola afunguka ishu ya De Bruyne PEP GUARDIOLA amethibitisha ilikuwa ni uamuzi wake kumaliza safari ya kiungo wa klabu hiyo na Ubelgiji, Kevin De Bruyne.
Euro 10 milioni kumng’oa Alonso Leverkusen REAL Madrid italazimika kulipa Euro 10 milioni ili kuvunja mkataba wa Kocha wa Bayer Leverkusen, Xabi Alonso inayohusishwa naye kwa muda mrefu,
Mke wa kocha Man United asimuliwa alivyotimuliwa LICHA ya mafanikio makubwa akiwa na klabu kubwa Ulaya, Louis van Gaal hajawahi kuvunjwa moyo kama ilivyotokea alipokuwa kocha wa Manchester United.
Arsenal mpo? Bei ya Sesko imepanda ARSENAL italazimika kulipa zaidi kunasa saini ya straika Benjamin Sesko kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi baada ya RB Leipzig kuongeza dau katika kipengele kilichopo kwenye...
Arteta kicheko Havertz yupo fiti KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema supastaa wake Kai Havertz anakaribia kurudi uwanjani kabla ya msimu kumalizika na hilo linaongeza mzuka zaidi kwenye kikosi hicho kabla ya mechi ya...
Ligi Kuu za Ulaya ni mchakamchaka MCHAKAMCHAKA wa Ligi Kuu za Ulaya unaendelea kupamba moto, kuanzia kwenye Ligi Kuu England, La Liga, Bundesliga, Serie A na Ligue 1. Ni balaa.
Alexander-Arnold kubadili upepo Liverpool BEKI kisiki wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold ambaye anadaiwa atajiunga na Real Madrid mwisho wa msimu huu, mkataba wake utakapomalizika, huenda mambo yakabadilika na akabaki kwa mujibu wa...
Salah amwita kijanja De Bruyne Anfield KIUNGO wa Manchester City, Kevin De Bruyne ameibua uwezekano wa kujiunga na klabu nyingine ya Ligi Kuu England baada ya kuaga huko Etihad.