Ujio mpya wa Mr Money ngumi za kulipwa duniani FLOYD Mayweather Jr maarufu kama Mr Money, ameamua sasa kufanya kweli katika ulingo wa ngumi za kulipwa duniani, akifanya mazoezi ya ‘kufa mtu’ nyumbani kwake huko Las Vegas, Nevada, Marekani...
Kisa Palmer, Manchester United yatajiwa pesa ya kuweka mezani Manchester United imeonywa italazimika kuvunja rekodi ya uhamisho ya Uingereza kwa dau la zaidi ya Pauni 150 milioni ili kumng’oa Cole Palmer Chelsea.
Beki Arsenal adai kuna presha ya ubingwa BEKI wa boli, Jurrien Timber amekiri kuwa wachezaji wa Arsenal wanaweza kuhisi hali ya wasiwasi ndani ya Uwanja wa Emirates wakati mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England zikiingia kwenye hatua muhimu.
Casemiro ampendekeza Bruno Man United KIUNGO Casemiro amemtaja staa wa Newcastle United, Bruno Guimarães, kama chaguo bora la usajili ambao mabosi wa Manchester United wanapaswa kuufanya dirisha lijalo la usajili wakati yeye...
Kocha Chelsea alalamikia kona za Arsenal Chelsea iliruhusu mabao yote mawili dhidi ya Arsenal kutokana na mipira ya kona katika kipigo cha 2-1 kwenye Ligi Kuu England , Jumapili.
Neville atoa utabiri mpya Man United GARY Neville amekiri kuwa haamini sasa anaitabiria Manchester United kumaliza katika nafasi ya tatu, akizingatia walipokuwa kabla ya Michael Carrick kuchukua mikoba kutoka kwa Ruben Amorim.
Klabu 25 bora Ulaya zilizotumia pesa ndefu kujenga vikosi sasa INASHANGAZA kuona kiwango kikubwa cha fedha kinachotumika katika soka siku hizi. Kabla ya kuingia karne ya 21, ilikuwa vigumu kufikiria klabu kutumia zaidi ya mamia ya mamilioni katika usajili.
Ana kwa ana na Wabrazili wa Chelsea wanaogandana muda wote Ni wazi kuwa kiongozi wao ni Joao Pedro anapoketi kwa mahojiano, katika mgahawa anaoupenda tangu alipojiunga na Watford akiwa kijana.
ELIZABETH ILANDA; Riadha ilivyombadilishia maisha, anapiga mzigo, kusoma Marekani KULIKUWA na asubuhi za ukungu mzito kijijini Lighwa, wilayani Ikungi, mkoani Singida, Jogoo akiwika, ng’ombe wakitoka zizini na watoto wakikimbia barabarani peku bila viatu kwenda shuleni.
Ukizungumza kwa kujiziba mdomo uwanjani, nyekundu RAIS wa FIFA, Gianni Infantino, amefichua kuwa wachezaji wanaweza kutolewa nje kwa kadi nyekundu endapo watainua jezi zao na kufunika midomo wanapozungumza na wachezaji wa timu pinzani.