Mara paap! Julio huyoo fasta Mwadui WAKATI ikionekana kama Kocha Amri Said ‘Stam’ anajiondoa kwenye timu ya Mwadui ya Shinyanga, tetesi za kutajwa kwa Kocha Jamhuri Kiwhelo ‘Julio’ zinasikika.
Yanga na kocha wa makipa Dodoma Jiji ajili ya kufuatilia uwezekano wa kupewa barua kutoka kwa mabosi wa timu hiyo iliyopo chini ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma, alisema alipewa siku mbili za kukamilisha au kubaki ndani ya timu hiyo.
Anuary awageukia Bocco, Kagere awe mpinzani wa ufungaji bora dhidi ya kina Bocco na Kagere wanaoongoza. ‘‘Kila bao ninalofunga namshukuru Mungu na timu yangu kwa ujumla, ushirikiano wa pamoja ndio unaonifanya nipate nafasi ya...
Dodoma Jiji yaizima Coastal Union amefurahishwa na ushindi huo wa pili mfululizo kwa timu yake na anajipanga kuwakabili maafande Polisi Tanzania mchezo unaofuata. Matokeo hayo yanaifanya Dodoma Jiji ifikishe alama 28 kwenye...
Ndio hivyo…. Na badooo MSIMBAZI viporo havichachi. Ndio, Simba ikiwa ugenini jijini hapa ilikula kiporo cha kwanza cha Ligi Kuu Bara kiulaini kwa kuifumua Dodoma Jiji mabao 2-1, huku winga Bernard Morrison ‘BM3’...
Morrison azidisha utamu Simba Katika mchezo mwingine wa Ligi Kuu, KMC imeifumua Namungo bila huruma kwa mabao 3-0.
Perfect Trio! Kuna Harden, Durant na Irving mmekwisha na makali yao. Utatu huu utasumbua sana NBA kutokana na aina ya wachezaji wenyewe na utazipa shida sana timu pinzani. Imeandikwa na Matereka Jalilu
Kocha Dodoma Jiji apangua safu ya ulinzi dhidi ya Yanga Dodoma Jiji inacheza na Yanga ambao ndio wenyeji wa mchezo wa leo unaochezwa uwanja wa Sheikh Amr Abeid Arusha
Simba ndo hivyo buana! Simba ikiwa na mzuka wa ushindi wao wa mechi ya kwanza dhidi ya Ihefu, huku ikiwa na majembe yake yote kikosini, waliduwazwa na Mtibwa kwa sare ya 1-1.
KIBURI: Kevin Durant azidi kuitega Warriors MATEREKA JALILU, DODOMA. WIKI iliyopita katika huu ukurasa wetu pendwa ilikuwepo habari inayomhusu staa Kevin Durant wa Golden State Warriors ambaye aliingizwa ndani ya uwanja mpya wa...