Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Perfect Trio! Kuna Harden, Durant na Irving mmekwisha

James Harden kaihama Houston Rockets na kutua Brooklyn Nets. Ni jambo la kusisimua sana.

Hii ni kwa sababu lilikuwa lengo lake kabla hata ya kuanza kwa msimu wa ligi-regular season na alichelewe kujiunga na wenzake wakati wa mechi za maandalizi huko Rockets.

Hata hivyo, baadaye alirejea kishingo upande kabla ya Alhamisi dioli lake la kutua Nets kukamilika na sasa anaenda kuungana na wakali wengine, Kevin Durant, waliowahi kucheza pamoja Oklahoma City Thunder na Kyrie Irving na wametabiriwa makubwa kutokana na makali yao.

Utatu huu utasumbua sana NBA kutokana na aina ya wachezaji wenyewe na utazipa shida sana timu pinzani.


Imeandikwa na Matereka Jalilu