Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

112 results for Matereka Jalilu :

  1. Dubois atamba, aonywa kwa Joshua

    SIKU 10 zimebaki kabla ya dunia kushuhudia pambano lingine kubwa la uzito wa juu duniani (heavyweight) baada ya mwezi Mei kutanguliwa na lile la Oleksandr Usyk na Tyson Fury.

    New Content Item (1)
  2. Jamal Murray kumbeba MVP Jokic

    KAMA sio kuumia kuelekea mechi za mtoano (playoffs) msimu uliopita nyota wa Denver Nuggets, Jamal Murray angekuwa sababu tosha kwa timu hiyo kutetea taji la NBA walilobeba msimu wa nyuma yake...

    New Content Item (1)
  3. Sinner alivyozima ndoto ya wenyeji Marekani

    ILIKUWA ni miaka 21 imepita tangu Marekani iliposhuhudia mchezaji wake wa tenisi upande wa wanaume, Andy Roddick akishinda taji la wazi la Marekani (US Open) mwaka 2003.

    New Content Item (1)
  4. Norris, Verstappen kazi ipo Arzebaijan

    POINTI 62 pekee ndizo zinatenganisha vita ya ubingwa wa mbio za magari kati ya Max Verstappen wa Red Bull na Lando Norris wa McLaren kwenye msimamo wa jumla.

    New Content Item (1)
  5. Timu tano tishio kwa Celtics msimu ujao

    KATIKA misimu miwili mfululizo iliyopita timu ya Boston Celtics imecheza fainali ya jumla ya NBA dhidi ya timu za Golden State Warriors na Dallas Mavericks.

  6. Sinner freshi tu bila Djokovic, Alcaraz

    KAMA Jannik Sinner atafanyia kazi kile alichosema baada ya mshangao uliotokea kwa nyota wawili wa tenisi duniani, Carlos Alcaraz na Novak Djokovic kuondolewa mapema kwenye michuano ya wazi ya...

  7. Tyson, Joshua ndo hivyo tena

    LICHA ya mabondia Tyson Fury na Anthony Joshua kuwa na wapinzani wakali zaidi huko mbeleni, ni suala la muda tu kabla ya wao wenyewe kupigana mwakani bila kujali matokeo ya mapambano ya mwaka...

  8. Vita ya taji la tano kwa Curry, Lebron NBA

    LEBRON James msimu mpya ukianza Oktoba, mwaka huu atakuwa anacheza Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) kwa msimu wa 22 mfululizo ambapo katika misimu hiyo amechukua taji mara nne akiwa na timu tatu...

  9. Piga ua bingwa NBA yupo hapa

    MASHABIKI wanahesabu siku zisizozidi 50 kabla ya kuanza kwa ligi ndefu ya NBA mwezi ujao ambapo ataanza kusakwa bingwa mpya wa msimu wa 2024/25 kufuatia msimu uliopita taji hilo kwenda kwa Boston...

  10. Djokovic mikononi mwa Sinner, Alcaraz

    NDANI ya mwaka huu, staa wa tenisi kutoka Serbia, Novak Djokovic amekutana na wakati mgumu mbele ya vijana wawili hatari, Jannik Sinner na Carlos Alcaraz.

Previous

Page 2 of 12

Next