Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Sinner alivyozima ndoto ya wenyeji Marekani

New Content Item (1)
New Content Item (1)

Muktasari:

  • Tangu mwaka huo hadi sasa ni miaka 21 hakuna mchezaji mwingine wa kiume aliyeshinda taji hilo kama alivyojaribu Taylor Fritz ambaye hakufua dafu mbele ya Jannik Sinner.

ILIKUWA ni miaka 21 imepita tangu Marekani iliposhuhudia mchezaji wake wa tenisi upande wa wanaume, Andy Roddick akishinda taji la wazi la Marekani (US Open) mwaka 2003.

Tangu mwaka huo hadi sasa ni miaka 21 hakuna mchezaji mwingine wa kiume aliyeshinda taji hilo kama alivyojaribu Taylor Fritz ambaye hakufua dafu mbele ya Jannik Sinner.

Seti tatu mfululizo ndizo zilimpa taji lingine Sinner mwaka huu baada ya kubeba lile la Australia Januari mwaka huu, huku akiwa ndiye kinara kwa ubora wa tenisi ya wanaume duniani mbele ya Novak Djokovic na Carlos Alcaraz.

Sinner ameshinda mataji mawili makubwa (Grand slam) kama Alcaraz ambaye kashinda mataji mawili ya Ufaransa na lile la Wimbledon.

Kutokana na ushindi huo, Sinner anakuwa ni mchezaji wa pili mwenye umri mdogo zaidi kushinda mataji ya Australian Open na US Open katika mashindano ya wanaume ya single kwenye msimu mmoja katika enzi ya Open, akiwa mkubwa kwa umri kuliko Jimmy Connors aliyefanya hivyo 12 - Jannik 974.