Yanga, JKT zashika tiketi ya Azam CAF LEO, JUMAPILI Yanga inacheza na JKT Tanzania mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga huku dakika 90 zikikamilika kutakuwa na mambo matatu yamepatiwa...
Jeuri ya Yanga ipo hapa KIKOSI cha Yanga kinajiandaa kuondoka jijini Dar es Salaam leo Ijumaa, kwenda Tanga kwa ajili ya mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), ikiendelea kuupigia hesabu ubingwa wa Ligi Kuu...
Beki Azam aandika rekodi mbili Bara BAO moja lililofungwa na beki wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda katika ushindi wa kikosi hicho wa mabao 5-0, dhidi ya Dodoma Jiji, Mei 13, 2025, limemfanya nyota huyo kuandika rekodi mbili muhimu...
Miaka 20 ya Kagera Ligi Kuu Bara, yashuka daraja ikiwa sebuleni MWENDO imeumaliza. Ndivyo unavyoweza kusema kuhusu Kagera Sugar, baada ya kuhitimisha miaka 20 ya kuichezea Ligi Kuu Bara kwa kushuka daraja ikiwa sebuleni ikilifuatilia pambano la KenGold na...
Mtibwa ilivyoduwaza, vita mpya imeanza Champioship LIGI ya Championship imefikia tamati kwa msimu wa 2024-2025 baada ya kivumbi cha jasho na damu kuvuja kwa wachezaji wa timu 16, zilizokuwa zinapigania nafasi mbalimbali hususani ile ya lengo mama...
PRIME Ukijichanganya kwa Simba umeumia! SIMBA imefunika katika Ligi Kuu Bara. Licha ya kuwa ndio timu iliyovuna pointi nyingi nyumbani kupitia mechi 13 ilizocheza ikishinda 10 na kutoka sare mbili, ikipoteza moja, lakini kuna rekodi...
Kocha Mingange ajivunia Songea United KOCHA wa Songea United, Meja Mstaafu, Abdul Mingange amesema licha ya kujiunga na timu hiyo kwa kipindi cha miezi sita, ila anajivunia maendeleo yaliyopatikana kwa msimu huu, licha ya kukiri...
Straika Mbeya City afichua siri ya mafanikio MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, William Thobias amesema haikuwa bahati mbaya kwa timu hiyo kurejea Ligi Kuu, baada ya kushuka msimu wa 2022-2023, kutokana na maandalizi na mikakati bora iliyofanywa...
Bosi Mtibwa Sugar aweka mikakati mipya KITENDO cha Mtibwa Sugar kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kushuka msimu uliopita, kimemfanya ofisa mtendaji mkuu wa kikosi hicho, Swabri Aboubakar kueleza sababu iliyochangia mafanikio hayo ni...
Tanzania Prisons, Kagera acha tuone itakuwaje! UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa mechi mbili kupigwa kwenye viwanja tofauti, huku macho na masikio yakiwa ni kutaka kujua timu gani itaungana moja kwa moja na KenGold kushuka...