Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

194 results for OMARY MDOSE :

  1. PRIME Simba yatembea na rekodi 7

    SIMBA inapiga hesabu kuhakikisha inapindua matokeo ya kufungwa mabao 2-0 ugenini katika fainali ya mkondo wa kwanza Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ili kubeba ubingwa Jumapili...

  2. Dodoma, Fountain na rekodi ya vipigo vikubwa Bara

    KATIKA timu 16 zinazoshiriki Ligi Kuu Bara msimu huu, Dodoma Jiji, Fountain Gate na Kagera Sugar, zinaongoza kwa kupokea vipigo vikubwa hadi sasa zikiwa zimebaki raundi mbili kuhitimisha msimu wa...

    VIPIGO Pict
  3. Mwalimu kutesti na Sevilla, Porto

    MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Wydad Casablanca ya Morocco, Selemani Mwalimu Abdallah ‘Gomez’ anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza mechi mbili dhidi ya Sevilla ya...

  4. Nabi aichapa Orlando 2-1, aipeleka Kaizer Chiefs kimataifa

    USHINDI wa mabao 2-1 ilioupata Kaizer Chiefs maarufu AmaKhosi na kunyakua Kombe la Nedbank, umeifanya timu hiyo kufuzu michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao.

  5. PRIME Simba yaacha msala CAF

    SIMBA imeendeleza kugawa dozi katika Ligi Kuu Bara baada ya jana kuifumua Pamba Jiji kwa mabao 5-1 na kukata tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao, huku ikiziachia msala Singida BS...

    MSALA Pict
  6. Simba rasmi Ligi ya Mabingwa, Ahoua akipiga hat trick

    RASMI Simba SC ina tiketi ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao 2025-2026, hiyo ni baada ya kufikisha pointi 66 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara ambazo haziwezi kufikiwa na...

    SIMBA SC Pict
  7. PRIME Kilichowakuta Manula, Mzamiru na Mkude ni hiki

    UKIANGALIA kinachoendelea kwa nyota waliokuwa tegemeo Taifa Stars na klabu zao, Aishi Manula, Mzamiru Yassin na Jonas Mkude, unaweza kujiuliza imekuwaje ghafla kiasi hiki hadi hawana tena nafasi...

    KILICHOWAKUTA Pict
  8. Mambo Sita Simba v Pamba Ligi Kuu Bara

    WAKATI Simba itakapokuwa mwenyeji wa Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Alhamisi hii kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, kuna mambo sita yanayopaswa kuangaliwa zaidi...

    New Content Item (1)
  9. Simba v Mashujaa dakika 90 zenye majibu matatu

    ZIMEPITA takribani siku 182 tangu mara ya mwisho Steven Mukwala afunge bao kwa kichwa katika dakika ya 90+7 kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma wakati Simba ikiichapa Mashujaa 1-0...

  10. Yanga mabingwa Kombe la Muungano 2025

    TIMU ya Yanga imetwaa ubingwa wa Kombe la Muungano baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKU katika mchezo wa fainali uliochezwa leo Mei Mosi, 2025 kwenye Uwanja wa Gombani kisiwani Pemba

Page 1 of 20

Next