Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

656 results for Victoria Melkiad :

  1. Coastal Union yampigia hesabu kocha Tabora United

    COASTAL Union inapiga hesabu kali za kumchukua aliyekuwa kocha wa Tabora United, Anicet Kiazayidi kushika nafasi ya Joseph Lazaro msimu ujao.

    KOCHA Pict
  2. PRIME Wasauzi wawafuata Diarra, Mutale

    KOCHA Mkuu wa Kaizer Chiefs, Nasreddine Nabi, Jumatano wiki hii alikuwa jukwaani KMC Complex, jijini Dar es Salaam ili kushuhudia kiporo cha Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Singida BS, ikiwa ni...

    MUTALE Pict
  3. Mashujaa, Mgunda ni suala la muda tu

    MASHUJAA haijamkatia tamaa aliyekuwa mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo, Ismail Mgunda aliyekuwa ametimkia AS Vita ya DR Congo katika dirisha dogo msimu huu kabla ya kurejea nchini hivi karibuni.

    MGUNDA Pict
  4. PRIME Yanga yamleta Dar beki wa Mazembe

    BEKI wa TP Mazembe ya DR Congo, Ibrahim Keita yupo njiani kuja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Yanga inayompigia hesabu kumsajili kwa kikosi cha msimu ujao.

  5. Kiungo Singida agomea mamilioni

    SINGIDA Black Stars imeanza harakati za mapema za kumuongeza mkataba mpya, kiungo Morice Chukwu, huku Mnigeria huyo akiwagomea mabosi hao, licha ya kuahidiwa donge nono.

  6. Coastal Union yaanza na Chikola, Bwenzi

    WAKATI msimu huu ukielekea ukingoni, klabu mbalimbali zinazoshiriki Ligi Kuu Bara zimeanza hesabu mapema za kuimarisha vikosi vyao kwa ajili ya msimu ujao ambapo inaelezwa Coastal Union imefanya...

    COASTAL Pict
  7. PRIME Percy Tau mezani Yanga

    DAU la kuvutia walilopata baada ya kuondoka kwa Stephane Aziz KI Yanga, kumeifanya klabu hiyo mapema kuingia sokoni kumsaka mbadala wake ambapo hadi sasa ina majina ya wachezaji wawili walio...

    TAU Pict
  8. PRIME Kocha Simba afichua dili la Camara wa Berkane

    HUENDA hii isiwe taarifa nzuri kwa Wanasimba ambao jana waliishuhudia timu yao ikivaana na RS Berkane ya Morocco katika pambano la marudiano ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika lililochezwa...

    CAMARA Pict
  9. PRIME Aziz KI ataja mambo mawili mazito Yanga

    STEPHANE Aziz KI kwa sasa yupo nchini kwao Burkina Faso ambako ameenda kusalimia nyumbani kwao kabla ya kwenda Morocco kuanza majukumu rasmi ya kuitumikia Wydad Casablanca, lakini huku nyuma...

  10. Coastal yatoa msimamo wa Lawi

    COASTAL Union imeweka wazi msimamo wake juu ya beki wa klabu hiyo, Lameck Lawi ambaye kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa kutakiwa na timu za Simba na Yanga.

    Lawi Pict

Page 1 of 66

Next